Siku Fid Q alipoamua kumuacha kwenye mataa John Makin bila huruma

Siku Fid Q alipoamua kumuacha kwenye mataa John Makin bila huruma

Mara ya mwisho FID Q kufanya shoo ilikuwa lini?
 
mashabiki wa hip hope wengi awanaga pesa ...zakulipia kiingilio cha kucheck show...pia hata kwenda YouTube kuview video wanashindwa ...ila kulalamika wanaongoza eti wanataka ngumu.
Me ndo maana huwa nawashauri kama unaona mtu anakuboa kasikilize unaedhani ni mkali
 
Tatizo wakiimba utumbo ili kulifuata soko mnaponda, wakiimba vitu vya maana vya kuelimisha hamsapotiii mnaishia kusifia sifia tu, mashabiki wa Hip Hop ni wanafiki.
Kwenye HIP HOP ya bongo, mashabiki ndo fake, ila wasanii wako REAL. HOOOOOVA
Sio kweli
 
mashabiki wa hip hope wengi awanaga pesa ...zakulipia kiingilio cha kucheck show...pia hata kwenda YouTube kuview video wanashindwa ...ila kulalamika wanaongoza eti wanataka ngumu.
Kuna ukweli fulan hivi
 
Hivi ile tuzo Ya Fid Q ndiyo ilitokana na kuielezea dunia?
 
Uschezee vyuma kukaza vya vimekaza mpaka johmakin anabanapua si mchezo mdogo wake naye alijifanyambishi yako wapi kaishia kubana pua
 
Back
Top Bottom