kama ukiwaweka sokoni Joh yuko juu ya Fid hata idadi ya shows kwa mwaka mzima utakuta Joh kafanya shows nyingi kuliko Fid lakini hata mashabiki Joh ana mashabiki wengi kuliko Fid lakini kwenye uandishi Fid yuko juu lakini mashabiki wake ni wachache sana na shows zake ni chache piaMkuu unaweza kunambia joh wekend hii alikuwa na show pande zp
kama ukiwaweka sokoni Joh yuko juu ya Fid hata idadi ya shows kwa mwaka mzima utakuta Joh kafanya shows nyingi kuliko Fid lakini hata mashabiki Joh ana mashabiki wengi kuliko Fid lakini kwenye uandishi Fid yuko juu lakini mashabiki wake ni wachache sana na shows zake ni chache pia
ndio anafanya hivyo lakini pesa anayopata hiwezi kuwa sawa na anayopata Fid yani ile jumla kwa mwaka utakuta joh yuko juu hata YouTube videos za joh zinaviews nyingi kuliko FidIla kumbuka Joh anafanya shows na wenzake pia. Je, ngapi inaingia kwake yeye binafsi?
hahaaa helmet -elementMkuu, hizi ni kama zile za bodaboda?
Wewe sasa tunaongea kichina kimoja ,mwisho wa siku '' wanaongea wengi lakini bosi ni hela '' by joh makiniMuziki ni kazi kama ya RC bashite, they do it for money. Kujifanya mwanaharakati halafu una njaa ni zero, fid q kalitambua hili sasa yupo kimziki zaidi si kukaza kama zaman. In short anaangalia nini soko linataka.
Kama hujanielewe FRESH
Siwezi jua ila niliwahi kuwa Kigoma mwezi wa 12 weekend alikinukisha pale the wallet rounge mwenye nayo anaitwa tony alinambia nje ya accomodation na go-return ticket 2 waliwalipa mil 4 ,Tanzania kubwa mkuu ulitaka nikutajie mbagala ile ,ila fid q kwanza hata sijapata sikia wimbo wowote fro yy tangu uanze mwaka 2016 ofcoz yeye na mr niceMkuu unaweza kunambia joh wekend hii alikuwa na show pande zp
Mkuu una uhakika kwamba joh ana mashabiki wengi kuliko ngosha? Umetumia vigezo vp aiseekama ukiwaweka sokoni Joh yuko juu ya Fid hata idadi ya shows kwa mwaka mzima utakuta Joh kafanya shows nyingi kuliko Fid lakini hata mashabiki Joh ana mashabiki wengi kuliko Fid lakini kwenye uandishi Fid yuko juu lakini mashabiki wake ni wachache sana na shows zake ni chache pia
Duh mkuu wewe kuna kitu nimekiona kwako kuhusu fid na joh ngoja nituliendio anafanya hivyo lakini pesa anayopata hiwezi kuwa sawa na anayopata Fid yani ile jumla kwa mwaka utakuta joh yuko juu hata YouTube videos za joh zinaviews nyingi kuliko Fid
Mkuu nilicho kiona hapa wewe si shabiki wa fid hata kidogo bali wewe ni team joh. Jaribu kuweka uteam pemben ujadil ukiwa huruSiwezi jua ila niliwahi kuwa Kigoma mwezi wa 12 weekend alikinukisha pale the wallet rounge mwenye nayo anaitwa tony alinambia nje ya accomodation na go-return ticket 2 waliwalipa mil 4 ,Tanzania kubwa mkuu ulitaka nikutajie mbagala ile ,ila fid q kwanza hata sijapata sikia wimbo wowote fro yy tangu uanze mwaka 2016 ofcoz yeye na mr nice
haaaaa haaaaa haaaaDuh mkuu wewe kuna kitu nimekiona kwako kuhusu fid na joh ngoja nitulie
iko hivyo Joh anamashabiki wengi kuliko Fid na ukitaka kuthibitisha hilo angalia views za videos za Joh then linganisha na videos za Fid on YouTube lakini pia angalia followers kwenye mitandao ya kijamii ni yupi yuko juu angalia tena idadi ya subscribers on YouTube ni nani anao wengi mbali na hayo kama ni misikilizaji mzuri wa radio na km huwa unatazama TV mara kwa mara utaona ni nyimbo za msanii gani kati ya Joh na Fid ambae nyimbo zake zinaombwa sanaMkuu una uhakika kwamba joh ana mashabiki wengi kuliko ngosha? Umetumia vigezo vp aisee
Mkuu kwahiyo unataka kusema kwamba joh analipwa pesa nyingi kuliko ngosha? Au unazumgumzia WEUS kwa ujumla
Mambo ya uteam umri huo umenipita sana ,mimi i like good music na sina mihemko ungekuja na uzi wa kumsifu fid q tu ,ningemsifu sana ila ukicompare siwezi pinga fid q kuna kipindi alifikia level joh makini hajaifikia ile ya kina prof jay lakini leo mziki hautaki tena vya kuwa sijui real na muziki ni biashara ongea mambo ya kukataa CCM au starehe na umalaya umetoka ,ona nyimbo kama unapenda makikiiiii ,ila fid q ni mzuri wa zama fulani ,mfano level aliyowahi fikia dully kimsingi dogo aslay hajaikuta hata robo ,kipindi kile team zilikuwa team TID na dully ,lakini kwa leo dully bado mzuri ila hamkuti tena dogo ,matured like thatMkuu nilicho kiona hapa wewe si shabiki wa fid hata kidogo bali wewe ni team joh. Jaribu kuweka uteam pemben ujadil ukiwa huru
Mambo ya uteam umri huo umenipita sana ,mimi i like good music na sina mihemko ungekuja na uzi wa kumsifu fid q tu ,ningemsifu sana ila ukicompare siwezi pinga fid q kuna kipindi alifikia level joh makini hajaifikia ile ya kina prof jay lakini leo mziki hautaki tena vya kuwa sijui real na muziki ni biashara ongea mambo ya kukataa CCM au starehe na umalaya umetoka ,ona nyimbo kama unapenda makikiiiii ,ila fid q ni mzuri wa zama fulani ,mfano level aliyowahi fikia dully kimsingi dogo aslay hajaikuta hata robo ,kipindi kile team zilikuwa team TID na dully ,lakini kwa leo dully bado mzuri ila hamkuti tena dogo ,matured like that
Umeongea point moja nzito sana bongo fleva ndo basi tenaKwa ujumla game nzima ya bongo fleva ilishafika kwenye kilele na sasa ndio inadondoka. Ni suala la wasanii kukubaliana na hali halisi.
Kwa kuongezea hapo, Fid Q alikuwa mjanja sana kuizima hiyo watu walikuwa wanasema ni beef.
Ok ntajirekebishaUandishi wako ndugu unaleta changamoto kwenye kusoma.
Mkuu huyo mdada katika avatar yako ana udugu na papa wemba au luiza mbutu????mbona mpua mkubwa mpaka unataka kufunika usoFid q.....Hip hope ishamshinda...Anapaka poda siku hizi...pia....Anavaa Wigi....pia amehanza nakubana pua...../Lakin Johmakin....Ana helment za kike.