Mambo ya uteam umri huo umenipita sana ,mimi i like good music na sina mihemko ungekuja na uzi wa kumsifu fid q tu ,ningemsifu sana ila ukicompare siwezi pinga fid q kuna kipindi alifikia level joh makini hajaifikia ile ya kina prof jay lakini leo mziki hautaki tena vya kuwa sijui real na muziki ni biashara ongea mambo ya kukataa CCM au starehe na umalaya umetoka ,ona nyimbo kama unapenda makikiiiii ,ila fid q ni mzuri wa zama fulani ,mfano level aliyowahi fikia dully kimsingi dogo aslay hajaikuta hata robo ,kipindi kile team zilikuwa team TID na dully ,lakini kwa leo dully bado mzuri ila hamkuti tena dogo ,matured like that