Siku gani ni nzuri kwa kunywa pombe ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu.

Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa!

Hivi siku nzuri za kunywa pombe ni zipi jamani?

Weekend ama daily tu mupe muruke?
 
Friday!!!

"Unathamini hawara na Pombe,Uchungu wa mwana..? ataujua nani Baba wee".

"Hawara chipsi mayai, watoto nyumbani viazi vitamu"
 
Siku shemegi akifuma mesej na picha za mchepuko
 
Pesa zako mkuu hata ukiamua unakunywa JANA NA JUZI freeeshh gonga tu!!!
 
Hata kuanzia asubuhi ila unakula unashiba unachapa kazi unaendelea kumimina bia hapo taifa litanufaika kuingiza kodi
Sio unakunywa bia haupigi kazi!
 
Pombe kwakweli sio nzuri. Mimi sioni faida yake kabisa. It is 100% poison ☠️ tunajua lakini bado tunakunywa. Inaharibu figo, ini hata kusababisha magonjwa mengine. Nailaani sana hii kitu. Ipo siku nitaivunja ndoa hii.
 
KUNYWA POMBE NI DHAMBI! ACHA KUNYWA TANGU SASA!
 
Pombe kwakweli sio nzuri. Mimi sioni faida yake kabisa. It is 100% poison ☠️ tunajua lakini bado tunakunywa. Inaharibu figo, ini hata kusababisha magonjwa mengine. Nailaani sana hii kitu. Ipo siku nitaivunja ndoa hii.
Nakuunga mkono mkuu tunajua inatuua lakini bado tunakunywa sijui wanaziwekeaga nini!!
Unaamka umechoka pesa imepungua unaapa kwa jina la yesu hupigi tungi tena zikipita wiki kadhaa koo linawasha unanza tena
 
Hili ni pepo mkuu.Mimi naichukia sana hii kitu. Sio rafiki wa pesa kabisa . Na inatesa tu no wonder the Bible says “It is not good for the Kings to drink “.
 
Hili ni pepo mkuu.Mimi naichukia sana hii kitu. Sio rafiki wa pesa kabisa . Na inatesa tu no wonder the Bible says “It is not good for the Kings to drink “.
Halafu haiongezi kitu chochote mwilini zaidi ya migogoro ya kifamilia kupunguza salio nakujidanganya tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…