Andiko la wapi hili mkuuMaisha si chochote si lolote bila pombe...View attachment 830423
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ufai weweAseee...nakutabiria hutaiacha mkuu
Mmh! Pombe haichwagi ivyo mkuu,wewe utarudi ulikotoka soonUtaacha tu mkuu,tena iyo siku unaeza kwenda bar ukaagiza bia ikafunguliwa kabisa ukasema rudisheni sitaki tena!!
Hivi vitu mbona tunaacha ili mradi tuwahi nyumbani tukae karibu na familia zetu!!
Mimi mwenyewe nilikua narudi home fungi kabla sijafika nakula ndizi mbivu then natafuna mint,wife siku iyo kapewa taarifa niko ellys pub toka siku iyo napiga Mara moja kwa wiki na nilikua ni daily
Ila nakoenda naona kama naacha
Usema kweli pombe ni mbaya but mziki uko ktk kuacha sasa!?
Unaacha ili ufanyeje je una mbadala wa hiyo starehe? That's the main issue!
Kitabu cha sira hicho mkuu...kwasasa kimeondolowe kwenye biblia ila ukipata zile biblia za zamani kipooAndiko la wapi hili mkuu
pombe nzuri bana hapa nipo na bombadia nalipiga taratibuBwaahaaahaaaaa....kichaa wangu, nilijua utalipuka na bomu tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Waliocha wameachaje au mi niachaje?Mmh! Pombe haichwagi ivyo mkuu,wewe utarudi ulikotoka soon
Nitakitafuta ili niwe huru kunywaKitabu cha sira hicho mkuu...kwasasa kimeondolowe kwenye biblia ila ukipata zile biblia za zamani kipoo
Wengi waliacha ghafla mkuuWaliocha wameachaje au mi niachaje?
achana na pombe, huo muda mtumikie Bwana Mungu wakoWana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu.
Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa!
Hivi siku nzuri za kunywa pombe ni zipi jamani?
Weekend ama daily tu mupe muruke?
Wengi waliacha ghafla mkuu
Ngoja nitafute namna kwanza nigombane na wale washkaji coz wanaeza kukuta umekaa mahali unapiga soda yako Mara wakadondosha jipapa mezani story mingi unajikuta na wewe unamimina glasini!!
we ujaacha bali umepunguza na tena siku ulizopanga kunywa n wewe! ila ukikutana na washkaji kabla ya siku wakikununulia utapiga tu
Mm shajaribu kuacha kwa njia unayoitumia lakin mwisho Wa siku nikarudi kwa kasi ya kimbunga.
Huwa siku nzuri ni ijumaaWana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu.
Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa!
Hivi siku nzuri za kunywa pombe ni zipi jamani?
Weekend ama daily tu mupe muruke?
Mkuu hiki kifungu nakitafuta cha kubishani kuhusu pombeKila siku...
Maisha yafaa nini bila pombe
Maisha yafaa nini bila ya pombe??Pombe kwakweli sio nzuri. Mimi sioni faida yake kabisa. It is 100% poison [emoji879]️ tunajua lakini bado tunakunywa. Inaharibu figo, ini hata kusababisha magonjwa mengine. Nailaani sana hii kitu. Ipo siku nitaivunja ndoa hii.
Maisha yafaa nini bila pombe??KUNYWA POMBE NI DHAMBI! ACHA KUNYWA TANGU SASA!
Kumbe siko peke yangu ila nailaani pombe maana kama sio yenyewe sahizi nsingekua nateseka na haya maisha .Nakuunga mkono mkuu tunajua inatuua lakini bado tunakunywa sijui wanaziwekeaga nini!!
Unaamka umechoka pesa imepungua unaapa kwa jina la yesu hupigi tungi tena zikipita wiki kadhaa koo linawasha unanza tena
Wengine hudai Education is important but Beer is importanter..Ahaaahaaa....mkuu una hasira balaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]