Siku gani ni nzuri kwa kunywa pombe ?

Siku gani ni nzuri kwa kunywa pombe ?

Utaacha tu mkuu,tena iyo siku unaeza kwenda bar ukaagiza bia ikafunguliwa kabisa ukasema rudisheni sitaki tena!!
Hivi vitu mbona tunaacha ili mradi tuwahi nyumbani tukae karibu na familia zetu!!
Mimi mwenyewe nilikua narudi home fungi kabla sijafika nakula ndizi mbivu then natafuna mint,wife siku iyo kapewa taarifa niko ellys pub toka siku iyo napiga Mara moja kwa wiki na nilikua ni daily
Ila nakoenda naona kama naacha
Mmh! Pombe haichwagi ivyo mkuu,wewe utarudi ulikotoka soon
 
Waliocha wameachaje au mi niachaje?
Wengi waliacha ghafla mkuu

we ujaacha bali umepunguza na tena siku ulizopanga kunywa n wewe! ila ukikutana na washkaji kabla ya siku wakikununulia utapiga tu
Mm shajaribu kuacha kwa njia unayoitumia lakin mwisho Wa siku nikarudi kwa kasi ya kimbunga.
 
Wana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu.

Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa!

Hivi siku nzuri za kunywa pombe ni zipi jamani?

Weekend ama daily tu mupe muruke?
achana na pombe, huo muda mtumikie Bwana Mungu wako
 
Wengi waliacha ghafla mkuu
Ngoja nitafute namna kwanza nigombane na wale washkaji coz wanaeza kukuta umekaa mahali unapiga soda yako Mara wakadondosha jipapa mezani story mingi unajikuta na wewe unamimina glasini!!
we ujaacha bali umepunguza na tena siku ulizopanga kunywa n wewe! ila ukikutana na washkaji kabla ya siku wakikununulia utapiga tu
Mm shajaribu kuacha kwa njia unayoitumia lakin mwisho Wa siku nikarudi kwa kasi ya kimbunga.
 
Wana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu.

Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa!

Hivi siku nzuri za kunywa pombe ni zipi jamani?

Weekend ama daily tu mupe muruke?
Huwa siku nzuri ni ijumaa

Unakunywa unalewa kesho yake j'mosi unapumzika kwa kufanya tukazi kidogo kidogo kufika jioni uko fiti
J'pili naamkia ibadani na shughuri zote za tafakari ya wiki nzima kisha mikakati ya j'tatu inaanza ukiwa fuleshi saaaana
 
Pombe kwakweli sio nzuri. Mimi sioni faida yake kabisa. It is 100% poison [emoji879]️ tunajua lakini bado tunakunywa. Inaharibu figo, ini hata kusababisha magonjwa mengine. Nailaani sana hii kitu. Ipo siku nitaivunja ndoa hii.
Maisha yafaa nini bila ya pombe??
 
Nakuunga mkono mkuu tunajua inatuua lakini bado tunakunywa sijui wanaziwekeaga nini!!
Unaamka umechoka pesa imepungua unaapa kwa jina la yesu hupigi tungi tena zikipita wiki kadhaa koo linawasha unanza tena
Kumbe siko peke yangu ila nailaani pombe maana kama sio yenyewe sahizi nsingekua nateseka na haya maisha .
I wish siku zirudi nyuma
 
Ahaaahaaa....mkuu una hasira balaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wengine hudai Education is important but Beer is importanter..

Pombe imevuruga Maisha ya Watu Wengi.Ni vichwa vichache sana ambavyo vinaweza kuhimili Uraibu wa pombe,ngono,madawa ya kulevya.

Starehe yoyote haitakiwi kukuongoza/kukutawala hii kauli wachache sana wanaweza kutambaa nayo,vichwa vingi ni vichwa vya kuku hivyo Pombe huvipeleka vichwa hivi vya kuku putaputa na kubadili kabisa mwelekeo wa Maisha yao mwelekeo Hasi.

Tumia Pombe Kiasi,Pombe imeangamiza wengi.
 
Ni siku ya Jumatatu,Jumanne,Jumatano,Alhamisi,Ijumaa,Jumamosi na Jumapili tu ndio siku nzuri za kunywa pombe . Na mtu asikudanganye vinginevyo
 
Back
Top Bottom