Kama leo sio?Nikiwa na hela ya kutosha na hasa iwe Friday
Wanywajihatuna siku maalim yakunywa..hata tuwe na pesa au tusiwe nazo tunakunywa kwasababu tushawekeza na tunamadftari kaunta mbalimbali...[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona mtu anakunywa pombe kwa kuangalia siku huyo hamna kituKama leo sio?
Duuh...kwahiyo we kila siku ni bierre?Wanywajihatuna siku maalim yakunywa..hata tuwe na pesa au tusiwe nazo tunakunywa kwasababu tushawekeza na tunamadftari kaunta mbalimbali...[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona mtu anakunywa pombe kwa kuangalia siku huyo hamna kitu
Yaah nikitu ambacho kishaingia kwenye routine... Kama ilivyo lazima kila siku ule.basi hata pombe ni hvyo hvyoDuuh...kwahiyo we kila siku ni bierre?
Ila mwanaume inabidi uwe mnywaji akili ndo inakuwa sawa!
Kila siku? Punguzeni jamaniGambe siku zote ni nzuri kulinywa ,binafsi sina siku
[emoji23] [emoji23]Utakuwa mchaga wewe I bet[emoji23] [emoji23]
Swadakta ,bajeti ya gambe huwa sikosi hata siku mojaYaah nikitu ambacho kishaingia kwenye routine... Kama ilivyo lazima kila siku ule.basi hata pombe ni hvyo hvyo
[emoji23] [emoji23] ninyime.chakula sio pombe
Hapa nilipo niko barKila siku? Punguzeni jamani
Bila shaka we ni mkazi wa kaskazini maana huku kuanzia asubuhi tuko bar!Swadakta ,bajeti ya gambe huwa sikosi hata siku moja Hapa nilipo niko bar
Kweli eeh mangi?[emoji23] [emoji23]
Daily?Daily. Ka glass kamoja ka mvinyo
Asee..hazikuchoshi?Swadakta ,bajeti ya gambe huwa sikosi hata siku moja Hapa nilipo niko bar
Hapana ,uzuri ratiba ya mazoezi pia ipoAsee..hazikuchoshi?
Hapo viziriHapana ,uzuri ratiba ya mazoezi pia ipo