Siku gani ni nzuri kwa kunywa pombe ?

Siku gani ni nzuri kwa kunywa pombe ?

Nikiwa na hela ya kutosha na hasa iwe Friday
 
Kama leo sio?
Wanywajihatuna siku maalim yakunywa..hata tuwe na pesa au tusiwe nazo tunakunywa kwasababu tushawekeza na tunamadftari kaunta mbalimbali...[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona mtu anakunywa pombe kwa kuangalia siku huyo hamna kitu
 
Duuh...kwahiyo we kila siku ni bierre?

Ila mwanaume inabidi uwe mnywaji akili ndo inakuwa sawa!
 
Kiu cha pombe hua ni kikali has a ukiwa hauna hela
Ukiwa nazo mfukoni unaeza sema si ntakunywa tu hata baadae
 
TRA na Mkulu lazima wanapenda watu muendelee kunywa kwa bidii ili kulipia SGR na mengineyo.

Kunyweni pombe kwa maendeleo ya taifa.
 
Back
Top Bottom