Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,935
Maisha yanafaa sana, yanakua bora zaidi unapomtegemea Mungu katika njia zako, yeye anayanyoosha mapito yako.Maisha yafaa nini bila pombe??
Jibu kwanza hapa mkuu
Upo hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yanafaa sana, yanakua bora zaidi unapomtegemea Mungu katika njia zako, yeye anayanyoosha mapito yako.Maisha yafaa nini bila pombe??
Jibu kwanza hapa mkuu
Kwani huu usemi unatokeaga wapi??.Maisha yanafaa sana, yanakua bora zaidi unapomtegemea Mungu katika njia zako, yeye anayanyoosha mapito yako.
Upo hapo?
Wewe huyo??Kila siku...
Maisha yafaa nini bila pombe
Ndioo..hata hapa ndio nimefika nyumban,najiuliza nilale au nishtue kidogo maana imeishia njianWewe huyo??
Mwenyewe nimelala mapema nimeamka dogo kanisumbua usingizi umeisha. Nawaza nikamalizie kiporo changu cha wine ndo nilaleNdioo..hata hapa ndio nimefika nyumban,najiuliza nilale au nishtue kidogo maana imeishia njian
Ewaaaa..kakipige ni ngumu sana kupata usingiz huku ukiwaza kuna pombe imebakiMwenyewe nimelala mapema nimeamka dogo kanisumbua usingizi umeisha. Nawaza nikamalizie kiporo changu cha wine ndo nilale
Hahahahahaaaa.. naogopa ntachelewa kuamka asubuhiEwaaaa..kakipige ni ngumu sana kupata usingiz huku ukiwaza kuna pombe imebaki
Li atakuamsha bana hofu ondoa[emoji23]Hahahahahaaaa.. naogopa ntachelewa kuamka asubuhi
Amsha ya Li ya kutobona macho sitaweza. Ngoja nilale zangu tuLi atakuamsha bana hofu ondoa[emoji23]
HaahaaaEwaaaa..kakipige ni ngumu sana kupata usingiz huku ukiwaza kuna pombe imebaki
Hulali
@witnessj upoo?Haahaaa
Uwe na usiku mwemaAmsha ya Li ya kutobona macho sitaweza. Ngoja nilale zangu tu
Pombe kwakweli sio nzuri. Mimi sioni faida yake kabisa. It is 100% poison ☠️ tunajua lakini bado tunakunywa. Inaharibu figo, ini hata kusababisha magonjwa mengine. Nailaani sana hii kitu. Ipo siku nitaivunja ndoa hii.
Nipo best ake@witnessj upoo?