Siku gani ulichacha hutaisahau?

Siku gani ulichacha hutaisahau?

tempid

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,053
Reaction score
1,657
Kuna siku nilichacha siwezi kuisahau maishani.

Nilibakiwa na 10,000/- mfukoni. Sasa nilikuwa najisikia vibaya nikaenda kupima malaria nikawa ninayo.

Nikawa njia panda, ninunue dawa au chakula maanake huwezi kunywa dawa bila kula ikabidi ninunue msosi tu nikala nikalala na malaria yangu.

Kesho nikapiga mishe nikapata hela ya dawa na chakula
 
Back
Top Bottom