Siku gani ulichacha hutaisahau?

Siku gani ulichacha hutaisahau?

Kuna siku nilichacha siwezi kuisahau maishani. Nilibakiwa na 10,000/- mfukoni. Sasa nilikuwa najisikia vibaya nikaenda kupima malaria nikawa ninayo. Nikawa njia panda, ninunue dawa au chakula maanake huwezi kunywa dawa bila kula ikabidi ninunue msosi tu nikala nikalala na malaria yangu. Kesho nikapiga mishe nikapata hela ya dawa na chakula
MM kunasiku, nilikua sina hela kabisa nikafanya mpango nikakopa Mpawa, ila walinipa buku tano tuu, ikanisave kiaina
 
Siku ambazo sitazisahau maana si moja kama wk 2 sina kitu mweupee nipo kwenye chumba cha kupanga saa yoyote unaweza daiwa pesa ya umeme, na hata pesa ya kula sina hata ile 2000 sina, Daaah ila mambo ni mengi ila namshukuru mpangaji mwenzangu kaka mudi alinisitili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiii pole mpenzi,kaka Mudi ana roho ya utu azidi kubarikiwa.
 
Siku ambazo sitazisahau maana si moja kama wk 2 sina kitu mweupee nipo kwenye chumba cha kupanga saa yoyote unaweza daiwa pesa ya umeme, na hata pesa ya kula sina hata ile 2000 sina, Daaah ila mambo ni mengi ila namshukuru mpangaji mwenzangu kaka mudi alinisitili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mudi ana roho nzuri sana
 
Back
Top Bottom