Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mi kwetu kungekuwa ni kijijini haki ya nani ningerudiUtaisha Tu na hatuondoki mjini dadadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi kwetu kungekuwa ni kijijini haki ya nani ningerudiUtaisha Tu na hatuondoki mjini dadadeki
Chezea kuchachaKumbe na Wewe unafanyaga hivyo? [emoji3][emoji3][emoji3], Utasachi Mara ngapi maana kila siku umechacha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ha ha ha kumbe jeipiemu alimaanishaMi kwetu kungekuwa ni kijijini haki ya nani ningerudi
Unaweza vunja kibubu kina coins tu [emoji1787][emoji1787], ukute haifiki hata buku 5
NaelewaUnanikumbusha mbali dadekii yaani siku hiyo nguo zote kwenye kabati zitatolewa, mikoba zipu zinafunguliwa na kufungwa. Hakuna kitu kibaya Duniani kama shida hii nyimbo nzuri sijui kaimba nani?
Bora Wewe, Mimi sijalipa ada ya term ya kwanza, yaani sijatoa hata Mia, nahisi akirudi likizo ya pasaka wanamtimua.
Nahisi wapo ambao walirudiHa ha ha kumbe jeipiemu alimaanisha
Halafu unakuwa na hasira uwiii 😀😀😀Asante, yaani wakati mwingine unawaza mpk mwili unakufa ganzi[emoji1787][emoji1787]
Unanikumbusha mbali dadekii yaani siku hiyo nguo zote kwenye kabati zitatolewa, mikoba zipu zinafunguliwa na kufungwa. Hakuna kitu kibaya Duniani kama shida hii nyimbo nzuri sijui kaimba nani?
Kuna umechacha halafu unakuta 5,000 kwenye suruali😂😂😂😂 meno yote njeUnaweza vunja kibubu kina coins tu [emoji1787][emoji1787], ukute haifiki hata buku 5
Nakwambia na shida zinapiga hodi utasema zimetumwa
Afadhali ingekuwa Mara moja moja jamani, mie tangu mwaka uanze nimechacha, na nikitegemea kupata hela flani kabla haijanifikia imeshaisha na bado hujatatua vimatatizo vidogo vidogoYaani kuna nyakati zinatokea huna hata jero mpaka unajiuliza ibilisi gani kakuibukia!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata hasira mpaka unaamua kufurahi maana haisaidiiHalafu unakuwa na hasira uwiii [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3]Kuna umechacha halafu unakuta 5,000 kwenye suruali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meno yote nje
Nikishika vihela havina shughuli kwa muda huo navitupia tupia kwenye mikoba tofauti kama sijielewi najua kuna siku itakuja ntachacha vitanisaidiaUnaweza vunja kibubu kina coins tu [emoji1787][emoji1787], ukute haifiki hata buku 5
Kubet kunakuponza weweNafarijika sna kuona hizi uzi, manake huwa najiuliza kua nimim tuu au wapo wachachaji wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ingekuwa Mara moja moja jamani, mie tangu mwaka uanze nimechacha, na nikitegemea kupata hela flani kabla haijanifikia imeshaisha na bado hujatatua vimatatizo vidogo vidogo