wakubeti
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 562
- 856
Jinsi navochacha ilinibidi ntafute kilevi chabei nafuu chakunipoza.Kubet kunakuponza wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsi navochacha ilinibidi ntafute kilevi chabei nafuu chakunipoza.Kubet kunakuponza wewe
Kuna siku nimechacha nasaka visarafu katika vitabu mara paaaap nikakutana na wekundu 3,,,,,, meno yote njeeeKuna umechacha halafu unakuta 5,000 kwenye suruali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meno yote nje
Napambana hivyo hivyo. AsantePiga moyo konde usikate tamaa panapokupa riziki pazingatie usipatelekeze maana wengi tukichacha kila kitu kinaachwa kijijue
Kila mtu ana msimu wake......kubwa ni kufanya yako na kupokea uhalisia kuwa huna
Kama mtoa mada alivyoamua kununua chakula badala ya dawa na katika hayo fanya lenye ulazima kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Jinsi navochacha ilinibidi ntafute kilevi chabei nafuu chakunipoza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ningetoa ushuhuda churchKuna siku nimechacha nasaka visarafu katika vitabu mara paaaap nikakutana na wekundu 3,,,,,, meno yote njeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh 30,000!Kuna siku nimechacha nasaka visarafu katika vitabu mara paaaap nikakutana na wekundu 3,,,,,, meno yote njeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yenyewe ni ada mkuu halafu ni parefu Bora ingekuwa pesa ndogo unaweza chukua kwa mtu ukarudisha. Ndo hivyo tushajicommit huwezi kumtoa kirahisi
Ndio tena ilikuwa zile kumi kumi za awamu ile kabla ya hizi mpya....maana yake ziliwekwa zikasahaulika hata miaka kadhaaDuh 30,000!
Ukisikia zali la mentali ndo hiloIlikuwa tarehe 30 mwezi wa 8. Mwaka 1999. Niliamka asbh sina hata 100. Na wakati huo mke wangu alikuwa amelazwa kwenye zahanati ya mtu binafsi tangu tarehe 28. Usiku akiwa na uchungu wa kujifungua mtoto. Siku hiyo ya tar. 30. Alfajir mama yangu akaja kwangu nikiwa ndo najiandaa kwenda pale dispensary. Mama(R.I.P)akanisalimia Kwa tabasamu na kunipa habari njema kuwa mke wangu kajifungua mtoto Salama mtoto wa kiume mwenye uzito wa kilo 3 na gram 200.
Nilifurahi lkn mfukoni hakuna pesa na pale dispensary inatakiwa pesa ili mke wangu atoke. Nikatoka na baiskeli yangu,nikaenda kwa jamaa mmoja nikakopa elf 9,nikaacha baiskeli yangu bond. Nikaenda hospital,nikalipa deni lilikuwa elf 4,nikalipa cash. Nikaenda barabarani nikachukua taxi nikalipa elf 1. Ikawapeleka nyumbani.
Pesa iliyobaki nikaenda kununua poda,mafuta ya nazi,sabuni na vitu vingine vidogo vidogo. Mfukoni nikabaki na shilingi 400. Nikapeleka hivyo vitu nyumbani kisha nikarudi barabarani. Nikaenda sehemu moja huwa wanachezesha kamari ya ile korokoro ile ya kete 3 nikiwa na rafiki yangu(R.I.P). Tukaanza kucheza kidogokidogo,baadae akaja jamaa naye akawa anacheza pale..yule jamaa akawa anahamisha zile hela zetu ndogo yy anazipiga nyumba moja. Kumbe yule jamaa alikuwa mfanyabiashara wa mkaa. Pale kijijini kwetu alikuwa anasubiri gari ya kwenda porini akanunue mkaa.
Aisee yule mchezeshaji nilikuwa nafahamiana naye sana!(R.I.P) baada ya kugundua yule jamaa ana hela,akabadilishiwa kete,zikawekwa za kutoka upande mmoja tu jembe na karanga. Na jamaa,akanitonya,nikaanza kutakaka..namuwekea karanga na jembe yy anahamisha anaweka king au Nanga. Aisee Kwa nusu saa tu nilikuwa na zaidi ya laki na 30 mkononi..! Nilivyoona,hela zimejaa nikaondoka na yule rafiki yangu. Kwanza nilienda dukani kununua vitu vya mtoto vikali,na pamba za nguvu za mke wangu. Kisha nikaenda kuchukua baiskeli yangu..nikanunua kuku ndo nikarudi nyumbani. Hata mke wangu hakuamini maana alikuwa anajua hali yangu. Huyo mwanangu mwaka huu anatizimiza miaka 21. Hii kumbukumbu sitakuja kuisahau aisee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati ilikuja kwa namna ya ajabu.Ilikuwa tarehe 30 mwezi wa 8. Mwaka 1999. Niliamka asbh sina hata 100. Na wakati huo mke wangu alikuwa amelazwa kwenye zahanati ya mtu binafsi tangu tarehe 28. Usiku akiwa na uchungu wa kujifungua mtoto. Siku hiyo ya tar. 30. Alfajir mama yangu akaja kwangu nikiwa ndo najiandaa kwenda pale dispensary. Mama(R.I.P)akanisalimia Kwa tabasamu na kunipa habari njema kuwa mke wangu kajifungua mtoto Salama mtoto wa kiume mwenye uzito wa kilo 3 na gram 200.
Nilifurahi lkn mfukoni hakuna pesa na pale dispensary inatakiwa pesa ili mke wangu atoke. Nikatoka na baiskeli yangu,nikaenda kwa jamaa mmoja nikakopa elf 9,nikaacha baiskeli yangu bond. Nikaenda hospital,nikalipa deni lilikuwa elf 4,nikalipa cash. Nikaenda barabarani nikachukua taxi nikalipa elf 1. Ikawapeleka nyumbani.
Pesa iliyobaki nikaenda kununua poda,mafuta ya nazi,sabuni na vitu vingine vidogo vidogo. Mfukoni nikabaki na shilingi 400. Nikapeleka hivyo vitu nyumbani kisha nikarudi barabarani. Nikaenda sehemu moja huwa wanachezesha kamari ya ile korokoro ile ya kete 3 nikiwa na rafiki yangu(R.I.P). Tukaanza kucheza kidogokidogo,baadae akaja jamaa naye akawa anacheza pale..yule jamaa akawa anahamisha zile hela zetu ndogo yy anazipiga nyumba moja. Kumbe yule jamaa alikuwa mfanyabiashara wa mkaa. Pale kijijini kwetu alikuwa anasubiri gari ya kwenda porini akanunue mkaa.
Aisee yule mchezeshaji nilikuwa nafahamiana naye sana!(R.I.P) baada ya kugundua yule jamaa ana hela,akabadilishiwa kete,zikawekwa za kutoka upande mmoja tu jembe na karanga. Na jamaa,akanitonya,nikaanza kutakaka..namuwekea karanga na jembe yy anahamisha anaweka king au Nanga. Aisee Kwa nusu saa tu nilikuwa na zaidi ya laki na 30 mkononi..! Nilivyoona,hela zimejaa nikaondoka na yule rafiki yangu. Kwanza nilienda dukani kununua vitu vya mtoto vikali,na pamba za nguvu za mke wangu. Kisha nikaenda kuchukua baiskeli yangu..nikanunua kuku ndo nikarudi nyumbani. Hata mke wangu hakuamini maana alikuwa anajua hali yangu. Huyo mwanangu mwaka huu anatizimiza miaka 21. Hii kumbukumbu sitakuja kuisahau aisee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina jinsi kweliUkishajicommit hizi shule za kulipia ujue umejitia kitanzi mwenyewe..... mi naelewa unachokizungumzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii kibokoIlikuwa tarehe 30 mwezi wa 8. Mwaka 1999. Niliamka asbh sina hata 100. Na wakati huo mke wangu alikuwa amelazwa kwenye zahanati ya mtu binafsi tangu tarehe 28. Usiku akiwa na uchungu wa kujifungua mtoto. Siku hiyo ya tar. 30. Alfajir mama yangu akaja kwangu nikiwa ndo najiandaa kwenda pale dispensary. Mama(R.I.P)akanisalimia Kwa tabasamu na kunipa habari njema kuwa mke wangu kajifungua mtoto Salama mtoto wa kiume mwenye uzito wa kilo 3 na gram 200.
Nilifurahi lkn mfukoni hakuna pesa na pale dispensary inatakiwa pesa ili mke wangu atoke. Nikatoka na baiskeli yangu,nikaenda kwa jamaa mmoja nikakopa elf 9,nikaacha baiskeli yangu bond. Nikaenda hospital,nikalipa deni lilikuwa elf 4,nikalipa cash. Nikaenda barabarani nikachukua taxi nikalipa elf 1. Ikawapeleka nyumbani.
Pesa iliyobaki nikaenda kununua poda,mafuta ya nazi,sabuni na vitu vingine vidogo vidogo. Mfukoni nikabaki na shilingi 400. Nikapeleka hivyo vitu nyumbani kisha nikarudi barabarani. Nikaenda sehemu moja huwa wanachezesha kamari ya ile korokoro ile ya kete 3 nikiwa na rafiki yangu(R.I.P). Tukaanza kucheza kidogokidogo,baadae akaja jamaa naye akawa anacheza pale..yule jamaa akawa anahamisha zile hela zetu ndogo yy anazipiga nyumba moja. Kumbe yule jamaa alikuwa mfanyabiashara wa mkaa. Pale kijijini kwetu alikuwa anasubiri gari ya kwenda porini akanunue mkaa.
Aisee yule mchezeshaji nilikuwa nafahamiana naye sana!(R.I.P) baada ya kugundua yule jamaa ana hela,akabadilishiwa kete,zikawekwa za kutoka upande mmoja tu jembe na karanga. Na jamaa,akanitonya,nikaanza kutakaka..namuwekea karanga na jembe yy anahamisha anaweka king au Nanga. Aisee Kwa nusu saa tu nilikuwa na zaidi ya laki na 30 mkononi..! Nilivyoona,hela zimejaa nikaondoka na yule rafiki yangu. Kwanza nilienda dukani kununua vitu vya mtoto vikali,na pamba za nguvu za mke wangu. Kisha nikaenda kuchukua baiskeli yangu..nikanunua kuku ndo nikarudi nyumbani. Hata mke wangu hakuamini maana alikuwa anajua hali yangu. Huyo mwanangu mwaka huu anatizimiza miaka 21. Hii kumbukumbu sitakuja kuisahau aisee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa jf unasema umechacha kumbe Una 200,000