Nakusalimia mpendwa
Njoo tugawane umaskiniKila siku nimechacha hata leo
Mpendwa hiyo sio shida mamy
Mmmh ...shost huyu haijui shida!Mpendwa hiyo sio shida mamy
Hujambo kapeace
Siku moja ambayo hutaisahau sasa, mimi mwenzio leo yaani nimechacha mbaya
Hii iwe thread ya tuliochacha
Mambo poa tu vipi za siku
Hii iwe thread ya tuliochacha
Malaria inaua kuliko ukimwi
Naomba mimi niwe mwenye kiti wa wachachaji πππ
Malaria inaua kuliko ukimwi
Ni shida