Mungu atatuekea sawa karbuniAisee bado nimechacha hali haijatengamaa
Ameen mtumishi wa Mungu
Jina lako tuAisee bado nimechacha hali haijatengamaa
LikojeJina lako tu
Mwaka nini?Likoje
😂😂😂😂Mwaka nini?
Hahaa kumbe huyo
Leo hapa.. nina buku 2 tuu yani na mabeb nimewafungia vioo shida tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn..Siku ya kwanza kufanya mapenzi na kukojoa, sitokaa sahau ile raha mpaka nywele zinasimama, aisee hii kituina utamu zaidi ya asali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hyo comment yake inahusiana vipi na kuchachaDamn..
Ndo nimeshindwa kumuelewa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hyo comment yake inahusiana vipi na kuchacha
Apa ni sisi ambao tumechacha benk hamna ata hela ya kula hamna hujui utakula nini...,we kumbe atm imesumbua kwa masaaKuna siku nilikuwa na miadi sehemu ndo siku ya kwanza kukutana, mfukoni sina kitu nikajipa matumaini nitakapofika nitatoa hela, kufika mitandao inasumbua hela haitoki, taarifa haiji, kuwapigia wakanambia kuna tatizo la kimtandao.Hapo ndani nasubiriwa.
Yani nilifedheheka sana siku hiyo, sitaisahau!..
Watu hawaelewi mchacho maana yakeApa ni sisi ambao tumechacha benk hamna ata hela ya kula hamna hujui utakula nini...,we kumbe atm imesumbua kwa masaa