Nicksoni Audax
Member
- Dec 27, 2020
- 6
- 10
1Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule
1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa
2. Mmetembelea shule nyingine
3. Kuna wageni kutoka shule nyingine
4. Kuna mashindano ya UMISETA
5. Mwalimu wa physics na chemistry anaumwa
mwalimu wa kiswahili kapatwa na matatizo ya kifamilia hivyo kurudi hadi tutakapojulishwa tenaChagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule
1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa
2. Mmetembelea shule nyingine
3. Kuna wageni kutoka shule nyingine
4. Kuna mashindano ya UMISETA
5. Mwalimu wa physics na chemistry anaumwa