Siku gani ulikuwa unaipenda kuliko zote ulipokuwa shuleni?

Siku gani ulikuwa unaipenda kuliko zote ulipokuwa shuleni?

Joined
Dec 27, 2020
Posts
6
Reaction score
10
Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule
1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa
2. Mmetembelea shule nyingine
3. Kuna wageni kutoka shule nyingine
4. Kuna mashindano ya UMISETA
5. Mwalimu wa physics na chemistry anaumwa
 
Maguest day,shopping day, jumanne wali nyama mboga na matunda, jumapili wali nyama km jumanne.
 
Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule
1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa
2. Mmetembelea shule nyingine
3. Kuna wageni kutoka shule nyingine
4. Kuna mashindano ya UMISETA
5. Mwalimu wa physics na chemistry anaumwa
1
 
mwalimu wa kiswahili kapatwa na matatizo ya kifamilia hivyo kurudi hadi tutakapojulishwa tena
 
Ijumaa maana unatoka saa nne shule kuja kuonana mpaka jumatatu tena ni mwendo wa bata tu, tena nilikuwa nafua na nguo za shule ili nisipate usumbufu jumamosi na jumapili!? 🤣😂
 
J5 Siku ya nyama. Alhamis wali. Na siku za UMISETA bila kusahau study tours.
 
Ijumaa ..tulikuwa tunatoka shule saa tano na nusu.
 
Binaadam tunatoka mbali. Tunaenda mbali. Na kila stage ina changamoto zake.

Yaani kuna challenges unapitia saivi....mpk unatamani hata urudi huko shule.
 
Siku ya Juma 5 Mukirudi mchana adi kesho. ad Raha alafu Mnaenda shule kwa zamu wengine mchana wengine asubui

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom