Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mzunguko wa siku 34 hua wanaovulate siku ya 20.... kwa hiyo tarehe 23 inaweza kua ndio siku yenyewe lakin aanze leo mpk tarehe 26.Kama aliingia tarehe 4 mwezi wa 12 mwaka huu, siku yake ya kupata ujauzito ni ipi? anamzunguko mrefu wa siku 34
Kua serious kwenye mambo ya maana.Mzunguko mrefu ni ngumu kupata ujauzito (hormonal imbalance ).