Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ya akina Daniel Amokachi, Emmanuel Amunike, Babangida, Rashid Yekin, Emmanuel Okocha, Taribo West, Uche Ukwechuku, George Finidi, Sunday Oliseh, Samson Siasia, Victor Ikpeba, Peter Rufai, Peter Rufai,.... Huwa napowakumbuka hawa jamaa naenda room najifungia nalia sana.
Nalia , kisha nalia na nalia tena kwa huzuni. Haijatokea tena Nigeria iliyokuwa ikipendeza kuitizama kama hii. kile kizazi kiliondoka na mpira wake. Na kilikuwa kizazi cha wapambanaji sana. Sijajua nini kilitokea kuifanya hiyo Nigeria isiendelee kuzalisha tena wachezaji kama hawa.
Hii ilikuwa team imejaa watu wenye vipaji,Uzalendo na Kujituma. Yekini anafunga goal anashangilia kwa kuzikamata nyavu na kuzitikisa namna hii... Hatari sana. Sasa wamebaki vijana mabitozi tu.
SIKU HAZIRUDI NYUMA