Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Huo ndiyo ulikuwa mshumaa wa mwisho wa nigeria, nao ulishazimika, ila zamani kulikuwepo Wanaume.Umemsahau Nwanko Kanu
Iyo nigeria ilikua zaidi ya burudani kuitazama ila kwenye suala la makombeHuo ndiyo ulikuwa mshumaa wa mwisho wa nigeria, nao ulishazimika, ila zamani kulikuwepo Wanaume.
Hapo kwa IBRAHIM BABANGIDA umekosea. Huyo alikuwa ni Jenerali wa Jeshi aliyefanya mapinduzi na kuwa Rais. Nadhani wewe ulimaanisha TIJAN BABANGIDA.Ya akina Daniel Amokachi, Emmanuel Amunike, Babangida, Rashid Yekin, Emmanuel Okocha, Taribo West, Uche Ukwechuku, George Finidi, Sunday Oliseh, Samson Siasia, Victor Ikpeba, Peter Rufai, Peter Rufai, Ibrahim Babangida.... Huwa napowakumbuka hawa jamaa naenda room najifungia nalia sana.
Nalia , kisha nalia na nalia tena kwa huzuni. Haijatokea tena Nigeria iliyokuwa ikipendeza kuitizama kama hii. kile kizazi kiliondoka na mpira wake. Na kilikuwa kizazi cha wapambanaji sana. Sijajua nini kilitokea kuifanya hiyo Nigeria isiendelee kuzalisha tena wachezaji kama hawa.
Hii ilikuwa team imejaa watu wenye vipaji,Uzalendo na Kujituma. Yekini anafunga goal anashingilia kwa kuzikamata nyavu na kuzitikisa namna hii... Hatari sana. Sasa wamebaki vijana ma bitozi tu.
SIKU HAZIRUDI NYUMA
Yeah, mimi ni die hard fan wa Cameroon 'The Indomitable Lions'. Hasa Ile Cameroon ya akina Patrick Mboma,Samuel Eto'o Fils, Marc Vivien Foe, Solomon Olembe, Omam Biyik, Pius Ndiefi, Pierre Wome, Bill Tchato, Raymond Kalla, Geremi Fotso Njitap na Rigobert Song.Ukistaajabu ya NIGERIA utayaona ya CAMEROON...
Hawana mori kabisa. Wamepoa sanaNigeria ya sasa ni aibu tupu japo wana wachezaji wazuri
Julius Aghahowa auEagles are flying!! Aliyekuwa anaruka sarakasi ni nani tena? Peter Rufai alikuwa golikipa bora sana.