KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Moja wapo ya ahadi ya mwana TANU ni "Nitasema ukweli Daima,fitina kwangu mwiko" na Leo Nitasema ukweli kama mwanaCCM unafiki sitaki.
Bwana Heche ameonesha kubeza posho ya 400000 walizokuwa wanalipwa wabunge ni kubwa. Sipo kwa lengo la kupinga au kukubali posho hizi ila nipo kuufichua unafiki wa Heche
Kipindi chote Cha ubunge wake hakuwahi kukosoa posho hizo na zaidi nafikiri alikuwa anatamani ziongezwe ila Leo kwa kuwa hapati posho hizo anasema ni kubwa. Huu ni unafiki na fitina kubwa kama mwanaCCM nimeahidi kuupinga.
Heche hajasema kama aliwahi kurudisha posho hizo kwa katibu wa bunge kuupinga ni kubwa. Huu ni unafiki inaonesha kesho akirudi bungeni atazifurahia.
Heche hajasema kuwa hata sasa anaweza kuzirudisha kwa namna nyingine hata kwa jamii kama kujenga hospitali, kukaa kwake kimya kwenye hili kunaeleza ni maneno matupu bila nia ya kweli. Huu ni unafiki
Heche haelezi kwamba posho hizo zinapangwa kisheria na sio kweli wanajilipa ila wanalipwa kwa mujibu wa sheria. Kujua sheria lakini kufikiri unaweza kuipotosha ni unafiki.
Huu ndio unafiki wa Heche ambao Mimi kama mwanaCCM nitaupinga kwa kusema fitina kwangu mwiko.
Pia soma > Pre GE2025 - John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!