Siku hii Dream itakapotimia: JF Members SACCOS LTD

Watu wana nia ya kufanya kitu cha kipekee na kizuri... ila pia mijizi inawaza vingine hapo..
Naunga mkono hoja ila tufanye kwa umakini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inahitaji Verfied user. Make hapo wewe mfano nani atakuamini? Si una jua now day?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi katika ili sioni tatizo na kwasababu kutakua na sheria na taratibu mimi sion tatizo mimi nakubaliana na wewe na moja kwa moja mimi niwe member no 2 kutoka wewe kwa vyovyote vile itakavyokua tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ni genius. Hili ni bonge la idea. Mwanzoni nimeona kuna ugumu wa kuwaorganise hawa watu 400k wachangie mwanzoni hizo buku buku au buku tano lakini naamini sisi JF ni kama familia moja tofauti na mitandao mingine hivyo wahasishaji wakihamasisha vizuri hii kitu inawezekana japo bado hofu inakuja kwa wapigaji wakijipenyeza kwenye uongozi huko juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni virtue life, usije ukaona post huku ukaamini basi ni kijiji fulani watu wapo tuu ama wote ni bi adam wengine sisi ni majini, hivyo chakuwasaidia wenzako weka elimu wakaitumie lakini sii kutengeneza jumuia haiwezekani
 
Wazo zuri sana ndugu yangu usiniache nyuma kwenye hill, nimevutiwa zaidi pale ulipoeleza kuwa tukiamua kuchanga elf 1, tukanunua Michele then tukajiuzia wenyewe.... Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…