Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa sana; haitaki uvivu hata kidogo, inahitaji kujitoa na kusiwe na ubabaishaji.Hii kiadia ni nzur ila kiutekelezaji maxima iwe shughuli haitaki uvivu hata kidogo afu inahitaji member wakujitoa haswa kusiwe na wababaishaji
Updates:
Kuna mmoja anasema, yeye anaona kuwa na idadi kubwa ya members ni changamoto. So, anashauri wachache committed wajikamue ili kupunguza idadi ya wanachama.
Nikamjibu:
Naelewa ni ngumu, lakini sheria zitakuwa kali sana na za wazi kwa kila member kiasi kwamba kila member akienda kinyume anaadhibiwa. Hata hivyo concern yake nimemuelewa sana. Nimempa pia option ya nini kifanyike ili watu wapungue wasio wengi.
Way forward ni kutafutana wawili watatu tunaoamini katika hili wazo, halafu tunapanga mikakati namna ya kusonga mbele.Mkuu nimekuandikia hapo juu. Naamini kwenye utekelezaji wa wazo linapokuwa la moto Kama hili. What’s way forward so far.
Sure. Tupe maono yako kuhusu muda hii ni yetu soteTime frame ni muhimu sana kwenye jambo la muhimu kama hili TheLobbyist
Sawa, umeeleweka vizuri sana. Ngoja tuendelee kusikilizia wengine.Jf haina member laki 4 lakini inazo I'd laki 4
na ndani ya hizi I'd wapo waliokufa,wapo watoto na kila sampuli ya watu!
kuchukua I'd zote hizo ni mzigo,na kitu kikiwa.na watu wengi ni mzigo mbeleni.
Tuanze na watu wachache ambao wataweza kujitoa muhanga!.
tukiwa na watu 100/200 ni kianzio tosha
Mf tuchukue watu 100 na kila mtu akitoa elfu 100,000
100,000×100=10Million
Hiyo pesa inaweza kuzungushwa vizuri kwenye biashara ya kuelekewa na ikazalisha zaid ya hiyo!.
Mimi naweza kuwasaidia Jinsi ya kuzalisha pesa na ku plan biashara kwa Mtaji mdogo.
ujue katika wengi,kuna migingano mingi!.
Au tungeanzisha Jf zone Hapo sawa.
kuliko ku conclude member wote!
Na hili swala litakuwa ni 'HIYARI'
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa, ngoja tuendelee kuona wadau wanasemajeMkuu TheLobbyist kama tumekubaliana wazo ni zuri pasi na shaka, napendekeza tukutane this Sunday Saa 8. Venue chagueni ila maeneo ya sinza, wenge au kijitonyama are more convenient
Ngoja kwanza,tuangalie hili varangati linaendajeSawa, umeeleweka vizuri sana. Ngoja tuendelee kusikilizia wengine.
Ila pia ingependeza aidha unitumie PM ama hapa unaweka ni namna gani ama aina gani ya biashara zinaweza kufanyika kwa mtaji mdogo Genius Man