Siku hizi Flora Mbasha anaitwa madam Flora

Basi jina la Bwana lihimidiwe!
amen
mbasha now yuko very happy na ameachia kazi zake mpya za gospel music..anavutia na anajipenda kuliko mwanzo.flora alidhani mchongo wa kumsingizia mumewe amebaka akajua dili litaenda sawa thn atafungwa labda miaka 30.na kesi ikiwa inaendelea akaenda kufungua madai ya talaka mahakama kisutu.nadhan alitaka mbasha akienda jela aee kashapata talaka thn ye huku ajiachie na mwingine kwa uhuru.badala yake haki ikatendeka mbasha hana hatia...alipiga goti mumewe amrudie lakini wapiii,na kesi ya talaka aliifungua mwenyewe

ahimidiwe Mungu wetu alie juu!!
 
Mwalimu wa Flora alikuwa kipofu...Sasa atabaki kusugua gaga kwenye kwaito za ndoa za wenzake hadi awe ajuza...Emma kisura yule hakosi mtoto wa kumpeti pet tena direct toka kwa bwana!
 
heheee[emoji4] umenipa raha mie..emma analipa tena sana tu!
utakuta kanisani wadada kibao wanammezea mate.loh!
 
Embu jadili vitu vya msingi achana na maisha ya watu, Hivi ni kweli Gwajima anafufua wafu mbona hayo matangazo yamezid kama ni kwel hili suala liangaliwe kwa makin isije kua ni ajabu lingine
Embu jadili vitu vya msingi achana na maisha ya Gwajuma
 
Hivi naomba kuuliza hapo madam Flora anaweza kuolewa na wanaume mwingine kwa kufunga ndoa tena??
 
utafikiri mlikuwa wote kitandani anapogegeda wewe ukishikilia mguu. manake kwa jinsi ulivyo na uhakika utafikiri kweli. sasa wakati gwajima anamfanya hivyo, grace mkewe gwajima naye alikuwa anafanya nini. nimejifunza kama sina uhakika na kitu huwa sishabikii
nan kakwambia hana uhakika? acha kukurupuka mkuu
 
Juzi niliota ndoto yupo kwa shehe,tayari kasilimishwa
 
Back
Top Bottom