Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
ilimppteza na aliumbuka vibaya mno ..ni aibu kumtendea mumeo unyama kama ule..now mume yupo kivyake anadunda na ipo siku anaweza oa!Hivi ile saga ilimpa kiki ama ilimpoteza?
ilimppteza na aliumbuka vibaya mno ..ni aibu kumtendea mumeo unyama kama ule..now mume yupo kivyake anadunda na ipo siku anaweza oa!
amenBasi jina la Bwana lihimidiwe!
amen
mbasha now yuko very happy na ameachia kazi zake mpya za gospel music..anavutia na anajipenda kuliko mwanzo.flora alidhani mchongo wa kumsingizia mumewe amebaka akajua dili litaenda sawa thn atafungwa labda miaka 30.na kesi ikiwa inaendelea akaenda kufungua madai ya talaka mahakama kisutu.nadhan alitaka mbasha akienda jela aee kashapata talaka thn ye huku ajiachie na mwingine kwa uhuru.badala yake haki ikatendeka mbasha hana hatia...alipiga goti mumewe amrudie lakini wapiii,na kesi ya talaka aliifungua mwenyewe
ahimidiwe Mungu wetu alie juu!!
heheee[emoji4] umenipa raha mie..emma analipa tena sana tu!Mwalimu wa Flora alikuwa kipofu...Sasa atabaki kusugua gaga kwenye kwaito za ndoa za wenzake hadi awe ajuza...Emma kisura yule hakosi mtoto wa kumpeti pet tena direct toka kwa bwana!
heheee[emoji4] umenipa raha mie..emma analipa tena sana tu!
utakuta kanisani wadada kibao wanammezea mate.loh!
yap..mi keWee ni wa kike?
Embu jadili vitu vya msingi achana na maisha ya GwajumaEmbu jadili vitu vya msingi achana na maisha ya watu, Hivi ni kweli Gwajima anafufua wafu mbona hayo matangazo yamezid kama ni kwel hili suala liangaliwe kwa makin isije kua ni ajabu lingine
Waoga sanaUmemtonesha aise. Si unajua wakiamini hawa. Wanakua na maoni tofauti
Ila wa nani?Ana mtoto ambaye sio wa mbasha
Sawa...basi Ima Mbasha anatafuta mchumba!yap..mi ke
HapanaHivi naomba kuuliza hapo madam Flora anaweza kuolewa na wanaume mwingine kwa kufunga ndoa tena??
nan kakwambia hana uhakika? acha kukurupuka mkuuutafikiri mlikuwa wote kitandani anapogegeda wewe ukishikilia mguu. manake kwa jinsi ulivyo na uhakika utafikiri kweli. sasa wakati gwajima anamfanya hivyo, grace mkewe gwajima naye alikuwa anafanya nini. nimejifunza kama sina uhakika na kitu huwa sishabikii
Kwa nini anatanguliza MADAM?.si ajiite tu fulora! au akiweka madam ndo ataonekana yuko single..!!Nimealikwa leo kwa kupewa kipeperushi ila nimeshangaa kuona jina la flora lilivyoandikwa sio kama zamani.
View attachment 402514
hahhahahhahahahhahhahahahhahahha!dah watu mna majibuuuu!Natumia thermometer