Siku hizi hawajui kusema hapana

Siku hizi hawajui kusema hapana

Gypsum Screw

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
701
Reaction score
895
Moja kwa moja kwenye mada.

Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!

Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!

Kwasasa narindima live kutokea hapa Mwamapuli.
 
Halafu sex mnaipa uzito sana aseee ! Yani kama kitu cha msingi vile ! Siku hizi hayo mambo yameisha tunafanya for funny na kujistarehesha tu ! Umemwelewa mtu sema nae , ikitiki mkawekane huko !

Inapunguza na mambo ya wivu wa kijinga 🤣
 
Kuna watu mnapenda ugumu, umemtongoza mtu au umeonesha nia ya kutaka tunda iwe mapema au kwa kuchelewa akikubali kuna shida gani? Sasa ulimtongoza yanini?

Kuna haja gani ya kuchelewesha mauzo ya azuma.
mapema sio lazima iwe papo kwa papo. Urahisi wa kunjunja umekua rahisi sana mpaka inashtua
 
Back
Top Bottom