Siku hizi kifo kiko karibu zaidi ya miaka iliyopita. Epuka dhambi ya uzinzi, ufiraji, dhuluma na uuaji ili usife mapema

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hello!

Mauti iko mlangoni inasubiri mtu atoke imbebe.

Jitahidi kuomba rehema kwa Mungu mara kwa mara.

Epuka dhambi ya ufiraji , epuka uzinzi, epuka dhuluma, epuka ushirikina, epuka kumwaga damu (kuua) ili siku zako ziwe kamili

Dhambi ziko nyingi ila hizo dhambi nilizozitaja hapo juu hufungua milango ya mauti kwa kasi kubwa.

Naandika katika Roho.

Mwenye sikio na asikie, asema Bwana
 
Hasa zinaa....kufira au kufirwa[USHOGA]...pamoja na kuua.....dhuluma utateseka kwanza kabla ya kufa ikiwa umedhulumu mjane au yatima.
Cha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.

Yaani hata wakiugua wanapata huduma first class. Wanakula na kuvaa vizuri.
 
Kama unaona wanafaidi nenda nawewe ukaue, ukafirwe , ukadhulumu, ukaue n.k
Ni nani alikuambia ukiwa mkamilifu hupati baraka kwa Mungu?
Screenshot_20240723-014734.jpg
 
Huyo bwana kama anayaona hayo anayokataza kwanini asitumie uwezo na nguvu zake zote za kuyafanya yasitokee
Au ni bwana wa kufikirika ?
Mungu amemaliza kazi yake na sasa ameweka formula za ku regulate Dunia. That's why ameumba wanadamu na malaika ili kila mmoja afanye kwa nafasi yake Dunia ipate kutulia.
Angeweza kutokumuumba mwanadamu na hakuna wa kumuuliza why lakini kakuumba ili utimize majukumu katika uumbaji wa Mungu.
Kama unabisha hakuna Mungu hii mada haikuhusu
 
Hello!

Mauti iko mlangoni inasubiri mtu atoke imbebe.

Jitahidi kuomba rehema kwa Mungu mara kwa mara.

Epuka dhambi ya ufiraji , epuka uzinzi, epuka dhuluma, epuka ushirikina, epuka kumwaga damu (kuua) ili siku zako ziwe kamili

Dhambi ziko nyingi ila hizo dhambi nilizozitaja hapo juu hufungua milango ya mauti kwa kasi kubwa.

Naandika katika Roho.

Mwenye sikio na asikie, asema Bwana
We umejuaje? Hizo dhambi zinafungua mlango wa Mauti
 
Huyo bwana kama anayaona hayo anayokataza kwanini asitumie uwezo na nguvu zake zote za kuyafanya yasitokee
Au ni bwana wa kufikirika ?
🤭 Mtoto,wangu(6) anapenda sana kujifunza ukristo( Kuna Mwalimu wake ana muinsipire') majuzi kaniuliza hivi,Kwa Nini Mungu alimleta shetani aje Duniani kutusumbua ,Si angemmaliza tu huko huko sisi yusipate shida!
 
Ulimpa jibu gani?maana me nilipigwa kibao kwa ajil ya hilo swali...mpaka Leo sijapata jibu
 
Back
Top Bottom