Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Cha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.Hasa zinaa....kufira au kufirwa[USHOGA]...pamoja na kuua.....dhuluma utateseka kwanza kabla ya kufa ikiwa umedhulumu mjane au yatima.
Kama unaona wanafaidi nenda nawewe ukaue, ukafirwe , ukadhulumu, ukaue n.kCha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.
Yaani hata wakiugua wanapata huduma first class. Wanakula na kuvaa vizuri.
Mwenye sikio na asikie, asema Bwana
Mungu amemaliza kazi yake na sasa ameweka formula za ku regulate Dunia. That's why ameumba wanadamu na malaika ili kila mmoja afanye kwa nafasi yake Dunia ipate kutulia.Huyo bwana kama anayaona hayo anayokataza kwanini asitumie uwezo na nguvu zake zote za kuyafanya yasitokee
Au ni bwana wa kufikirika ?
Mkamilifu gani kapata baraka zaidi ya kushinda kuzitafuta kwa Mwamposa na kwa Kiboko ya Wachawi na kwa Kuhani Mussa?Kama unaona wanafaidi nenda nawewe ukaue, ukafirwe , ukadhulumu, ukaue n.k
Ni nani alikuambia ukiwa mkamilifu hupati baraka kwa Mungu?
View attachment 3049579
Chawa wamo😅😅Uchawa upo Kwa hili kundi au wenyewe wapo kwenye tasnia nyingine?
Hasa msagaji mkubwaBila kusahau wasagaji
We umejuaje? Hizo dhambi zinafungua mlango wa MautiHello!
Mauti iko mlangoni inasubiri mtu atoke imbebe.
Jitahidi kuomba rehema kwa Mungu mara kwa mara.
Epuka dhambi ya ufiraji , epuka uzinzi, epuka dhuluma, epuka ushirikina, epuka kumwaga damu (kuua) ili siku zako ziwe kamili
Dhambi ziko nyingi ila hizo dhambi nilizozitaja hapo juu hufungua milango ya mauti kwa kasi kubwa.
Naandika katika Roho.
Mwenye sikio na asikie, asema Bwana
🤭 Mtoto,wangu(6) anapenda sana kujifunza ukristo( Kuna Mwalimu wake ana muinsipire') majuzi kaniuliza hivi,Kwa Nini Mungu alimleta shetani aje Duniani kutusumbua ,Si angemmaliza tu huko huko sisi yusipate shida!Huyo bwana kama anayaona hayo anayokataza kwanini asitumie uwezo na nguvu zake zote za kuyafanya yasitokee
Au ni bwana wa kufikirika ?
Wewe unaona ufiraji Ni Jambo la kawaida?We umejuaje? Hizo dhambi zinafungua mlango wa Mauti
Kwa sababu wamo ndani ya agano.Cha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.
Yaani hata wakiugua wanapata huduma first class. Wanakula na kuvaa vizuri.
yaani hata sio shida zao wanapeta tuCha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.
Yaani hata wakiugua wanapata huduma first class. Wanakula na kuvaa vizuri.
Ulimpa jibu gani?maana me nilipigwa kibao kwa ajil ya hilo swali...mpaka Leo sijapata jibu🤭 Mtoto,wangu(6) anapenda sana kujifunza ukristo( Kuna Mwalimu wake ana muinsipire') majuzi kaniuliza hivi,Kwa Nini Mungu alimleta shetani aje Duniani kutusumbua ,Si angemmaliza tu huko huko sisi yusipate shida!