Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hayo ni maswali ya kukata tamaa na hasira tu.Punguza au acha hasira ndugu.Huyo bwana kama anayaona hayo anayokataza kwanini asitumie uwezo na nguvu zake zote za kuyafanya yasitokee
Au ni bwana wa kufikirika ?
Wewe ulikufa zamani au sasa?Hello!
Mauti iko mlangoni inasubiri mtu atoke imbebe.
Jitahidi kuomba rehema kwa Mungu mara kwa mara.
Epuka dhambi ya ufiraji , epuka uzinzi, epuka dhuluma, epuka ushirikina, epuka kumwaga damu (kuua) ili siku zako ziwe kamili
Dhambi ziko nyingi ila hizo dhambi nilizozitaja hapo juu hufungua milango ya mauti kwa kasi kubwa.
Naandika katika Roho.
Mwenye sikio na asikie, asema Bwana
Mwisho wake ni kufa kwa mateso makali!!Cha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.
Yaani hata wakiugua wanapata huduma first class. Wanakula na kuvaa vizuri.
Na wanaishi miaka mingi sana hebu angalia M7 na Kagame pamoka na kuwa ni majokayaani hata sio shida zao wanapeta tu
...ilikuwa ngumu...nilimwmbia tunepeea kama kipimo Ili tuwe watiifu kwake!Ulimpa jibu gani?maana me nilipigwa kibao kwa ajil ya hilo swali...mpaka Leo sijapata jibu
Yule Agrey punga...kumbe kashaungua...nimeona video yake sehemu anawachamba watu wanaomsema kuwa anakunywa ARV..kasema ukimwi sio ugonjwa wa kumtisha...ameshika kidonge chake...wanaume hayo makalio ni laana...don't go against nature...
🤣🤣Mbona unakimbilia kufirwa...nikikuonyesha evidence ya ng'ombe kufirwa utakimbilia wapi usiongee vitu usivyovijua bro utaaibikaWewe unaona ufiraji Ni Jambo la kawaida?
Ng'ombe wenyewe hawakosei tundu iweje wewe binadamu na degree yako?
Hebu imagine ukijua dada yako anafirwa na mume wake, utawatembelea au utawatenga jumla?
hata ikiwa hivyo, moto wa milele unawasubiri wasipopata neema ya Toba na kuokoka.Cha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.
Yaani hata wakiugua wanapata huduma first class. Wanakula na kuvaa vizuri.
shetani yupo ili kumthibitisha Mungu. kwa mfano kama shetani asingeleta maradhi/magonjwa, tusingejua kuwa Mungu ni mponyaji. (Yehova Rafa)🤭 Mtoto,wangu(6) anapenda sana kujifunza ukristo( Kuna Mwalimu wake ana muinsipire') majuzi kaniuliza hivi,Kwa Nini Mungu alimleta shetani aje Duniani kutusumbua ,Si angemmaliza tu huko huko sisi yusipate shida!
Hili ni swali la akili kubwa huwa mtoto mdogo anavyouliza watu wazimaHayo ni maswali ya kukata tamaa na hasira tu.Punguza au acha hasira ndugu.
Umemuwakilisha?Hili ni swali la akili kubwa huwa mtoto mdogo anavyouliza watu wazima
Tatizo watu wazima huwa mnatoa majibu ya kitoto na mbaaambaa nyingi
Yaleyale !Umemuwakilisha?
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?Cha ajabu watu wanaofanya hayo matendo yote uliyotaja ndio Matajiri, wanazidi kuneemeka na afua tele.
Yaani hata wakiugua wanapata huduma first class. Wanakula na kuvaa vizuri.