mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jan 30, 2017 #1 Hali imezidi kuwa nzuri kwa watanzania.na lile gap kati ya masikini na tajiri linazidi.kufutika.. Huku kwetu bei ya unga kilo moja ni 1900.hii bei haina tofauti na bei ya mchele wanaokula matajiri.
Hali imezidi kuwa nzuri kwa watanzania.na lile gap kati ya masikini na tajiri linazidi.kufutika.. Huku kwetu bei ya unga kilo moja ni 1900.hii bei haina tofauti na bei ya mchele wanaokula matajiri.
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 7,895 Reaction score 13,643 Jan 30, 2017 #2 Una fikra kama za Faru John.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Jan 30, 2017 #3 kula ugali imekua anasa siku hizi
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,174 Jan 30, 2017 #4 Huu uzi wa wanaume wa mikoani sisi wa Dasalamu hautuhusu.[emoji12] [emoji1] [emoji1] Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huu uzi wa wanaume wa mikoani sisi wa Dasalamu hautuhusu.[emoji12] [emoji1] [emoji1] Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]