Siku hizi kula ugali kupenda

Siku hizi kula ugali kupenda

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
42,209
Reaction score
51,004
Hali imezidi kuwa nzuri kwa watanzania.na lile gap kati ya masikini na tajiri linazidi.kufutika..
Huku kwetu bei ya unga kilo moja ni 1900.hii bei haina tofauti na bei ya mchele wanaokula matajiri.
 
Huu uzi wa wanaume wa mikoani sisi wa Dasalamu hautuhusu.[emoji12] [emoji1] [emoji1]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom