makahaba walikuwepo tangu enzi za manabii , na moshi wapo na si ajabu kuwapo ..
Thread imefungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makahaba walikuwepo tangu enzi za manabii , na moshi wapo na si ajabu kuwapo ..
Makahaba wa moshi wengi wao ni wanafunzi wa pale ushirika,ukitaka kuamini nenda pale malindi au pub alberto muda huu ambao vyuo vimefungwa kama utawakuta wakiwa wengi namna ile.
Wapo kibao hapa Ms wadada wanajiuza na ni wachaga ila wapo km magogo ila wazuri hajabu
Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa kuuza miili yao kuna wengine wa mikoa wamevamia kuja kuwafunza hawa dada zetu jinsi ya kuuza miili yao?
hata wakiume wapo telee tena ndo chimbuko huko,,wazuri kama dada zao
Magogo maana yake nini.
Magogo maana yake nini.
Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa kuuza miili yao kuna wengine wa mikoa wamevamia kuja kuwafunza hawa dada zetu jinsi ya kuuza miili yao?
Ndio CCM imetufikisha hapa! Ona sasa ugumu wa maisha umefanya dada zetu wa Moshi nao wakaiga
Chagua Lowassa kwa mabadiliko ya kweli
Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa kuuza miili yao kuna wengine wa mikoa wamevamia kuja kuwafunza hawa dada zetu jinsi ya kuuza miili yao?
We jamaa ni mgeni hapa Moshi. Ukahaba Moshi dates back to 1970's...hata tukiacha huo wa zamani hivyo makahaba wa kisasa (wale wa kujipanga barabarani) wapo Moshi siku nyingi.
Mwezi ujao nakwenda moshi nitakaa kama miez3, nilikua najiuliza niondoke na wife au, kumbe bidhaa zetu za chapchap zipo itabidi abaki tu.
Ushawahi kusikia lowasa akipinga ukahaba wa wachaga??