Siku hizi kuna machangudoa Moshi?

Siku hizi kuna machangudoa Moshi?

Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa kuuza miili yao kuna wengine wa mikoa wamevamia kuja kuwafunza hawa dada zetu jinsi ya kuuza miili yao?
Weka ushahidi tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe labda unakaa migombani mbona hiyo biashara ipo kila sehemu,hapo moshi mitaa ya uswahilini kama mbuyu mafuta street ilikuwa tena kuna wamama maarufu waliokuwa watesa miaka ya zamani na watoto na wajukuu zao wanaendelea.hivi hujui kama hapo karibu na stand ya mboya kuna madanguro.
THANKS for info
 
Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa kuuza miili yao kuna wengine wa mikoa wamevamia kuja kuwafunza hawa dada zetu jinsi ya kuuza miili yao?
Kuwafunza wachaga wakati wauza bar tazania 60% ni dada zenu wa kichaga
 
Back
Top Bottom