Siku hizi kuna mfumo mpya wa kudanga kwa akina dada

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Habari za majukumu wakuu.
Husika na kichwa cha habari.
Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao.
Najiuliza sijui wanaambizana au inakuaje hata sielewi.

Utakuta mdada anakutex "samahani naomba niongezee hela 5000/= nyumbani luku imekata ghafla na mama hayupo karubu, nataka kutumia matumizi ya ghafla. Mara paap anakutumia namba za mita bila hata aibu." Sasa ukijaribu kumuhadithia rafiki yako mara anaweza kukwambia na yeye alishaambiwa ila ni dem tofauti. Sasa nasema hivii kwenu wadada ukinambia tena hilo suala tutajuana maana mmezidi. Mimi walishanambia watatu ila ukikataa wana kublock, haya yapo sana fb.
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Watakaokupa hao wanaume ni bogass. Unawapiga voko mchana kweupe na wanaingia mkenge?
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
inategemea wanaume 10 ulionao wakoje.
kama wana alili kama zangu wanaweza wakaja hadi hapo polisi kituoni wakutoe. ila aio wakutumie hela
 
Hahahha nawapigia mida ya saa mbili alafu wanafanya kazi ambazo siyo rahisi kutoka tapeli tuna mbinu na tunaangalia watu wa kutapeli
 
Ha haa na yeye anamwambia ambaye yupo mbali kidogo sio wewe wa karibu
Umeona eeeh ukimpigia polisi au Mbunge lazima simu ipigwe makao haya mtoeni mwanangu huyo haraka sana.

Unageuzwa mtoto kumbe mchepuko wake.

Unampigia yule Dr au Teacher
Mhasibu wa mkoa
Kuna watu hawezi kutoka kazini kabisa haraka haraka walinzi wa Mawaziri Mwanajeshi
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Kipindi kile umemzimisha Bonge, ulipiga mkwanja kiasi gani hadi uliponasuka kituoni?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alikuja kunitoa mwenyewe bhn hahahahhahahahahq
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Kuna kamoja kadenti kachuo kalinambia eti nimekamatwa sijavaa helment nikakatumia 50K ila huku najua hapa napigwa, kwesho yake tukakutana ndani ya kuta nne pale kwenye uwanja wa fundi seremara game lilipigwa hapo hadi ilibidi nikaongezee 50 tena mana nilihisi nimekadhulumu........., kwa lile game niliamini kweli 50k ina thamani kubwa sana..
 
inategemea wanaume 10 ulionao wakoje.
kama wana alili kama zangu wanaweza wakaja hadi hapo polisi kituoni wakutoe. ila aio wakutumie hela
Nakushauri tu mkuu siku nyingine kama pesa unayo ni bora utume tu kuliko kwenda kituoni mana unaweza kumkuta kweli yuko ndani lakini ni deal imepigwa kati ya askari na demu.......from experience hii kitu naongea..
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Hahahaha!!
 
Habari za majukumu wakuu.
Husika na kichwa cha habari.
Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao.
Najiuliza sijui wanaambizana au inakuaje hata sielewi.

Utakuta mdada anakutex "samahani naomba niongezee hela 5000/= nyumbani luku imekata ghafla na mama hayupo karubu, nataka kutumia matumizi ya ghafla. Mara paap anakutumia namba za mita bila hata aibu." Sasa ukijaribu kumuhadithia rafiki yako mara anaweza kukwambia na yeye alishaambiwa ila ni dem tofauti. Sasa nasema hivii kwenu wadada ukinambia tena hilo suala tutajuana maana mmezidi. Mimi walishanambia watatu ila ukikataa wana kublock, haya yapo sana fb.
ukiwanyima wanakuita mbahili kumamaeee.zao
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
na kwa wiki wote wakitaka mishe utawapaje hapo bado mshana
 
Nakushauri tu mkuu siku nyingine kama pesa unayo ni bora utume tu kuliko kwenda kituoni mana unaweza kumkuta kweli yuko ndani lakini ni deal imepigwa kati ya askari na demu.......from experience hii kitu naongea..
Safi kabisa alafu unapigwa pesaaa ndefu kabisaa mjini mambo mipango
 
Back
Top Bottom