Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
- #61
Nitengwe kwa nini mkuu.utengwe we jamaa hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitengwe kwa nini mkuu.utengwe we jamaa hahaha
Pumbavu kabisa unatuaibisha unalalama kuombwa luku ya buku tanoHabari za majukumu wakuu.
Husika na kichwa cha habari.
Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao.
Najiuliza sijui wanaambizana au inakuaje hata sielewi.
Utakuta mdada anakutex "samahani naomba niongezee hela 5000/= nyumbani luku imekata ghafla na mama hayupo karubu, nataka kutumia matumizi ya ghafla. Mara paap anakutumia namba za mita bila hata aibu." Sasa ukijaribu kumuhadithia rafiki yako mara anaweza kukwambia na yeye alishaambiwa ila ni dem tofauti. Sasa nasema hivii kwenu wadada ukinambia tena hilo suala tutajuana maana mmezidi. Mimi walishanambia watatu ila ukikataa wana kublock, haya yapo sana fb.
Hahaha mkuu unajua anawaomba wangapi?Pumbavu kabisa unatuaibisha unalalama kuombwa luku ya buku tano
Hata kumiHahaha mkuu unajua anawaomba wangapi?
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Mwanamke akikupigia simu kukuomba pesa hata siku moja usimtumie kwenye simu. kama haumuamini Mwambie aje kwako kuichukua.
Na wale wa 'samahani kaka naomba uniongezee nauli' na hapo ni usikuHabari za majukumu wakuu.
Husika na kichwa cha habari.
Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao.
Najiuliza sijui wanaambizana au inakuaje hata sielewi.
Utakuta mdada anakutex "samahani naomba niongezee hela 5000/= nyumbani luku imekata ghafla na mama hayupo karubu, nataka kutumia matumizi ya ghafla. Mara paap anakutumia namba za mita bila hata aibu." Sasa ukijaribu kumuhadithia rafiki yako mara anaweza kukwambia na yeye alishaambiwa ila ni dem tofauti. Sasa nasema hivii kwenu wadada ukinambia tena hilo suala tutajuana maana mmezidi. Mimi walishanambia watatu ila ukikataa wana kublock, haya yapo sana fb.
Chukua namba yangu ya simu pleeeeeeeeeeaseeeeeMimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Hahah shwaini mmoja huyoHahahaha umenikumbusha mmoja yupo Gongo la mboto kaniambia ana shida ya elfu 3 nikamwambia sipo nchini ningekupa, nikamwambia lakini nipe namba zako nikirudi ntakutafuta. Hahaha kanikaushia siku ya pili namsalimia akanambia hataki salam ya mtu bahili dah! Niliishiwa nguvu. Akaniblock.
Anayajua haya?Mabogasi
Mazwazwa
Mapopoma
Mnajifanya wabahili ila Demiss nimejipanga sawa sawa nawachuna kwa mbinu kali na tata kama za alkaidaa
AhahahajjaChukua namba yangu ya simu pleeeeeeeeeeaseeeee
Na wewe huwa unadanga?Wabahiri utawajua tu
Hahaha..ujanani labdaNa wewe huwa unadanga?
KumbeMabogasi
Mazwazwa
Mapopoma
Mnajifanya wabahili ila Demiss nimejipanga sawa sawa nawachuna kwa mbinu kali na tata kama za alkaidaa