Siku hizi kuna mfumo mpya wa kudanga kwa akina dada

Siku hizi kuna mfumo mpya wa kudanga kwa akina dada

Kuna mmoja kaniambia Yupo Moro nimtumie nauli aje dar, mpaka leo namwambia sijapata, Najua yuko dar ananizingua tu
 
Habari za majukumu wakuu.
Husika na kichwa cha habari.
Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao.
Najiuliza sijui wanaambizana au inakuaje hata sielewi.

Utakuta mdada anakutex "samahani naomba niongezee hela 5000/= nyumbani luku imekata ghafla na mama hayupo karubu, nataka kutumia matumizi ya ghafla. Mara paap anakutumia namba za mita bila hata aibu." Sasa ukijaribu kumuhadithia rafiki yako mara anaweza kukwambia na yeye alishaambiwa ila ni dem tofauti. Sasa nasema hivii kwenu wadada ukinambia tena hilo suala tutajuana maana mmezidi. Mimi walishanambia watatu ila ukikataa wana kublock, haya yapo sana fb.
Pumbavu kabisa unatuaibisha unalalama kuombwa luku ya buku tano
 
Mwanamke akikupigia simu kukuomba pesa hata siku moja usimtumie kwenye simu. kama haumuamini Mwambie aje kwako kuichukua.
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?

Jasho la mwanaume haliliwi bure, matumaini yangu kwenye malipo yao pia huwa huwaangushi.

unawapa wanachostahili, kadri ya gharama zao
 
Mwanamke akikupigia simu kukuomba pesa hata siku moja usimtumie kwenye simu. kama haumuamini Mwambie aje kwako kuichukua.

Akija si anajua lazima agegedwe ndio apewe hela
 
Wazinzi na wa asherati ndio wanaoliwa.Mimi hela yangu ni ya malengo na atakula mtu wa malengo yangu na akiwa na sababu zenye malengo. Vinginevyo kauze K huko ipakwe laana.
 
Habari za majukumu wakuu.
Husika na kichwa cha habari.
Kuna mtibdo mpya siku hizi kwa akina dada wa kupiga hela, kwakweli hili wamefanikiwa lakini kwa wachache wasioujua huu mchezo wao.
Najiuliza sijui wanaambizana au inakuaje hata sielewi.

Utakuta mdada anakutex "samahani naomba niongezee hela 5000/= nyumbani luku imekata ghafla na mama hayupo karubu, nataka kutumia matumizi ya ghafla. Mara paap anakutumia namba za mita bila hata aibu." Sasa ukijaribu kumuhadithia rafiki yako mara anaweza kukwambia na yeye alishaambiwa ila ni dem tofauti. Sasa nasema hivii kwenu wadada ukinambia tena hilo suala tutajuana maana mmezidi. Mimi walishanambia watatu ila ukikataa wana kublock, haya yapo sana fb.
Na wale wa 'samahani kaka naomba uniongezee nauli' na hapo ni usiku
 
Hahahaha umenikumbusha mmoja yupo Gongo la mboto kaniambia ana shida ya elfu 3 nikamwambia sipo nchini ningekupa, nikamwambia lakini nipe namba zako nikirudi ntakutafuta. Hahaha kanikaushia siku ya pili namsalimia akanambia hataki salam ya mtu bahili dah! Niliishiwa nguvu. Akaniblock.
Hahah shwaini mmoja huyo
 
Back
Top Bottom