Siku hizi kuna mfumo mpya wa kudanga kwa akina dada

Hahahahaha sku hizi mbinu tumebadili wanawake ni matapeli sana
 
Umeombwa elfu 5 unalia hivyo? Nipe namba yake nikusaidie kuhudumia mgodi
 
Mimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
Watu kama ninyi ndio mnapandisha bei ya viagra na kutuongezea hasira hata wakati wa kunaniliu tutamani kutupia mpaka korodani kama umbwa.
 
Mabogasi
Mazwazwa
Mapopoma

Mnajifanya wabahili ila Demiss nimejipanga sawa sawa nawachuna kwa mbinu kali na tata kama za alkaidaa
Kama unalipa hapo sawa, vinginevyo mmh
 
Watu kama ninyi ndio mnapandisha bei ya viagra na kutuongezea hasira hata wakati wa kunaniliu tutamani kutupia mpaka korodani kama umbwa.
Siku hizi k zenyewe zimekuwa mabwawa kama si bahari dumbukiza mpaka mapaja
 
Mabogasi
Mazwazwa
Mapopoma

Mnajifanya wabahili ila Demiss nimejipanga sawa sawa nawachuna kwa mbinu kali na tata kama za alkaidaa
Sio mm detective,mm ndio master mwenyewe. Ela ninazo hutoi kizembe zembe. Utawakilisha vielelezo kama vile unaomba mkopo benki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…