AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kuna wakati nikikaa kuna mlio fulani hivi nausikia sikio moja tu.
Kuna ule mlio unausikia mfano mtu akikupiga kofi la siikio au umejigonga sehemu kwenye kichwa unasikia kitu km kinalia ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa kingereza wanaita buzzing or humming sound.
Nitakua na tatizo gani? Au ni hali ya kawaida tu?