Kama hakuna sababu za kiafia!
Kwasisi tuliokulia vijijini tulikua kunaambiwa na wakubwa, ukisikia kitu kama hicho masikioni hapo kuna watu wanakusema, eidha wanakuseng'enya ama wanakusifia (sikio la kushoto wanakuseng'enya/kukusema vibaya/kupanga mabaya juu yako, sikio la upande wa kulia, wanakusema vizuri, wanasifia mazuri yako/wanakupangia mazuri). Utatumia imani yako kukanunusha hayo mabaya ama utatumia imani yako kupokea sifa na kuyakaribisha mazur yanayopangwa!
Hayo ni kwa niaba kwasisi tuliokulia karibu na wazee, niny wa bording shool kaen kwa kutulia!