Siku hizi kupata ngono ni rahisi kuliko kupata mpenzi wa kweli

Siku hizi kupata ngono ni rahisi kuliko kupata mpenzi wa kweli

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Zamani mpaka ushike japo paja la mwanamke apo umeangaika vya kutosha.

Siku izi ata ukiwa na elfu 10 uwakika wa kupata ngono ni mkubwa.

Ukitaka kuamini pita ata uzi wa kula tunda kimasihara.
 
Zamani unapata mpenzi lakini bado amfanyi mpaka miezi au mwaka upite
 
Vitu vimebadilika mzee wangu mambo ya sasa yananistajabisha sana sikuzi hata chupi zenyewe ni tofauti zamani zilikuwa zinaficha kalio lakini saiz kalio ndio linaficha chupi kwahiyo mambo yamebadilika hata hawa warembo saiz wapo kimasilai zaid.
 
Ngono ndo kila kitu sikuhz mwanawake wamekuwa wengi halafu wanaume walio na wanawake ni wachache
 
Ule uzi naounaga tuu ukiranda randa humu jukwaani, kumbe unaunganisha watu wanadinginyana?
Mi nikajua ni watu wanapeana uzoefu......

Kwa hali hii kweli tunahitaji yesu wetu.
 
Back
Top Bottom