kengele maziwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2015
- 431
- 647
Jana nimeingia pande za dance club sijaona hata mtu ambaye anazungusha round kila mtu kabia kimoja tu, nikawanajisemea mwenyewe kweli hali tete. Basi nikaagiza mchemsho mbili na round mbili za faster watu macho yote kodo [emoji3526]
N.B Usiende sehemu za burudani ukiwa na hela za ngama utaita watu washua, kila la kheri.
N.B Usiende sehemu za burudani ukiwa na hela za ngama utaita watu washua, kila la kheri.