jamesjaco
Member
- Jul 27, 2014
- 65
- 34
Siku hizi madalali wamekuwa wengi sana mtaani tena kwa maeneo kama Dar ndio usiseme kila mtu ni dalali. Hii hupelekea tofauti ya bei za magari baina ya dalali mmoja na mwingine.
Unaweza kuta gari moja ila bei ni tofauti kati ya dalali mmoja na mwingne... matokeo yake wale madalali wa uhakika wanakuwa wanazibwa na madalali uchwara!
Leo nataka kujua experience za watu kupitia madalali na changamoto zake na kama unamjua dalali wa uhakika mtaje ili watu wamjue kabisa.