Siku hizi madalali wa magari wamekuwa wengi sana mtaani

Siku hizi madalali wa magari wamekuwa wengi sana mtaani

Mkeo mwenyew ulimpata kwa dalali, unaumia nini vijana wakijiongeza na ajira ni changamoto?
 
Bila dalali huwez fanikiwa yaani jamaa wanaconnection balaaa. Ishu ni kua makini tu bhasi uioneshe pupa kama hujawai miliki gari[emoji23][emoji23]
 
Mimi kwenye hizi biashara, muuzaji kwenye kila sentesi anamalia na neno BOSS!!. Huwa naachana na hiyo biashara. Sijui ni udhaifu wangu tu au machale yangu yako sahihi!!!
 
Back
Top Bottom