[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ohoooo,mambo ya hii alikua anatumia mdada, Ac ya kuganga,mara ac kama mafinga au utasikia ukinunua hii gari nunua na makoti kabisa baridi balaa mara mdada kaitwa na mumewe ulaya anaiuza bei ya hasara sasa jichanganye kama hayajakukuta ya sri lanka
Ac Unaganda 😂😂😂Ohoooo,mambo ya hii alikua anatumia mdada, Ac ya kuganga,mara ac kama mafinga au utasikia ukinunua hii gari nunua na makoti kabisa baridi balaa mara mdada kaitwa na mumewe ulaya anaiuza bei ya hasara sasa jichanganye kama hayajakukuta ya sri lanka
Kawaida sana na wengine wanauza wasichokijuaSiku hizi madalali wamekuwa wengi sana mtaani tena kwa maeneo kama Dar ndio usiseme kila mtu ni dalali. Hii hupelekea tofauti ya bei za magari baina ya dalali mmoja na mwingine.
Unaweza kuta gari moja ila bei ni tofauti kati ya dalali mmoja na mwingne... matokeo yake wale madalali wa uhakika wanakuwa wanazibwa na madalali uchwara!
Leo nataka kujua experience za watu kupitia madalali na changamoto zake na kama unamjua dalali wa uhakika mtaje ili watu wamjue kabisa.
Ilikua inaendeshwa na mwanamke.Muhindi anarudi kwao
Binafsi madalali sio dar tu sikuhizi hata huko ulaya bila dalali hupati kaziSiku hizi madalali wamekuwa wengi sana mtaani tena kwa maeneo kama Dar ndio usiseme kila mtu ni dalali. Hii hupelekea tofauti ya bei za magari baina ya dalali mmoja na mwingine.
Unaweza kuta gari moja ila bei ni tofauti kati ya dalali mmoja na mwingne... matokeo yake wale madalali wa uhakika wanakuwa wanazibwa na madalali uchwara!
Leo nataka kujua experience za watu kupitia madalali na changamoto zake na kama unamjua dalali wa uhakika mtaje ili watu wamjue