Asalamaleko JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 2,699 Reaction score 7,726 Sep 8, 2022 #21 Mkeo mwenyew ulimpata kwa dalali, unaumia nini vijana wakijiongeza na ajira ni changamoto?
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Sep 8, 2022 #22 Mafian cartel said: Ya kuwasha na kuondoka Click to expand... Ya mdada wa kwaya kuu
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,286 Reaction score 39,418 Sep 8, 2022 #23 Bila dalali huwez fanikiwa yaani jamaa wanaconnection balaaa. Ishu ni kua makini tu bhasi uioneshe pupa kama hujawai miliki gari[emoji23][emoji23]
Bila dalali huwez fanikiwa yaani jamaa wanaconnection balaaa. Ishu ni kua makini tu bhasi uioneshe pupa kama hujawai miliki gari[emoji23][emoji23]
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Sep 8, 2022 #24 Watu muhimu
Infopaedia JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 1,231 Reaction score 1,491 Sep 10, 2022 #25 Mimi kwenye hizi biashara, muuzaji kwenye kila sentesi anamalia na neno BOSS!!. Huwa naachana na hiyo biashara. Sijui ni udhaifu wangu tu au machale yangu yako sahihi!!!
Mimi kwenye hizi biashara, muuzaji kwenye kila sentesi anamalia na neno BOSS!!. Huwa naachana na hiyo biashara. Sijui ni udhaifu wangu tu au machale yangu yako sahihi!!!