L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,545 Reaction score 6,512 May 15, 2020 #1 Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo? na hawa machinga wanaishije? vipi huko mikoani
Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo? na hawa machinga wanaishije? vipi huko mikoani