Siku hizi mashetani na wachawi ndiyo wanaohubiri injili. Injili yao ni kavu haina mvuto

Zamani ukienda sehemu za injili ya Kristo iletayo wokovu ilipokuwa inahubiriwa palikuwa na mvuto na upako kiasi kwamba ulikuwa unataka uendelee kusikiliza.

Shida ilikuwa ni pale walipokuwa wanaita wale waliotayari kuokoka waje mbele ndo vita inaanza ya kukuzuia. Wale waliokuwa wanaishinda ndo walikuwa wanatoka mbele na mtu aliyekuwa anaokoka kwa njia hiyo alikuwa ni mlokole kwelikweli.

Sasa siku hizi ukiwaangalia hao wahubiri kwa mizania ya neno la Mungu unaona chenga tu ni tiamajitiamaji hatakama hiyo huduma itakuja na nguvu za kifedha. Neno la Mungu linalohubiriwa kwanza halina upako wala mvuto wa kumfanya mtu aache shughuri zake kusikiliza.

Kwenye makanisa watu ambao ni vimbelembele kujifanya watumishi kwenye kwaya, uzee wa kanisa, kuhudumia madhabau ukiwaangalia wamepagawa na mapepo ya mizimu ya kwao! Ofcourse huwezi kuwafanyakitu kwasababu wana mdomo na kujihesabia haki sio kawaida.

Hila kwa upande mwingine wanazuia na kusababisha sana watu wakimbie makanisa na mikusanyiko ya neno la Mungu! Kwenye magroup ya WhatsApp ya kiroho wanajifanya kuposti "aya" za Biblia wakati ni mashetani kabisa!
Ngoja nikushauri jambo swala la kwenda kweny nyumba za ibada ni imani yako na imani ni msukumo bjnafsi wa ndani ya moyo wako kama ni ivi basi amini imani halisi inatoka ndani ya moyo wako wew na MUNGU wako na si mtu mwingine yeyote ukifanya ivo huto angalia imani ya mtu mwingine …….. mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
 
Zamani ukienda sehemu za injili ya Kristo iletayo wokovu ilipokuwa inahubiriwa palikuwa na mvuto na upako kiasi kwamba ulikuwa unataka uendelee kusikiliza.

Shida ilikuwa ni pale walipokuwa wanaita wale waliotayari kuokoka waje mbele ndo vita inaanza ya kukuzuia. Wale waliokuwa wanaishinda ndo walikuwa wanatoka mbele na mtu aliyekuwa anaokoka kwa njia hiyo alikuwa ni mlokole kwelikweli.

Sasa siku hizi ukiwaangalia hao wahubiri kwa mizania ya neno la Mungu unaona chenga tu ni tiamajitiamaji hatakama hiyo huduma itakuja na nguvu za kifedha. Neno la Mungu linalohubiriwa kwanza halina upako wala mvuto wa kumfanya mtu aache shughuri zake kusikiliza.

Kwenye makanisa watu ambao ni vimbelembele kujifanya watumishi kwenye kwaya, uzee wa kanisa, kuhudumia madhabau ukiwaangalia wamepagawa na mapepo ya mizimu ya kwao! Ofcourse huwezi kuwafanyakitu kwasababu wana mdomo na kujihesabia haki sio kawaida.

Hila kwa upande mwingine wanazuia na kusababisha sana watu wakimbie makanisa na mikusanyiko ya neno la Mungu! Kwenye magroup ya WhatsApp ya kiroho wanajifanya kuposti "aya" za Biblia wakati ni mashetani kabisa!
cc: Irene Uwoya, Masanja Mkandamizaji, MC Pilipili, Wasanii wengine walioshindwa maisha
 
Back
Top Bottom