Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Siwezi mkuuKwa umri wako mkuu unaweza weka bando uangalie eksi???
Inasikitisha sanaNyuma ya pazia Kuna dirisha.
Ndio CCM wamepitia hapo badala ya mlangoni
Kikundi cha wapigaji waliochaguana hakiwezi kuwa na hadhi ya kuitwa BungeKuanzia 2020 na kurudi nyuma bunge lilikuwa la moto ulikuwa unapita kila sehemu unakuta watu wanasikiliza kwenye radio, wengine wanaangalia kwenye runinga.
Lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa watu hawafatilii kwa nini?
Alitukosea sana tangu ule mwaka bunge halijawahi kuwa na mvutoKuna Qenge alihujumu uchaguzi "kupita bila kupingwa" bunge likakosa mvuto
Kweli kabisa upinzani bungeni hakuna kila kitu ni ndioKikundi cha wapigaji waliochaguana hakiwezi kuwa na hadhi ya kuitwa Bunge
MwenzaO mmoja apeleke mswaada wa kujadiliwa hali hiyoKuanzia 2020 na kurudi nyuma bunge lilikuwa la moto ulikuwa unapita kila sehemu unakuta watu wanasikiliza kwenye radio, wengine wanaangalia kwenye runinga.
Lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa watu hawafatilii kwa nini?
Tuna bunge la hovyo sanaBunge la kina FA na Tale? Kikundi cha upigaji tu hicho nani asikilize? wastage of tym