Siku hizi mbona Bunge halifuatiliwi na wananchi, kuna nini nyuma ya pazia?

Nakumbuka mim mwenyewe nisiyeipenda siasa nilikua naangalia namna vyama pinzan vikitoa challeng Kwa chama tawala palikua pananoga ila Sasa chama pinzan sijui ni kimoja sijui hakuna yaan hapalet hata msisimko wa kuangalia
 
Nakumbuka wakina Tundu lisu na halima mdee walikuwa wanatoa hoja nzito kwelikweli.
 
Kuanzia 2020 na kurudi nyuma bunge lilikuwa la moto ulikuwa unapita kila sehemu unakuta watu wanasikiliza kwenye radio, wengine wanaangalia kwenye runinga.

Lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa watu hawafatilii kwa nini?
ule ni mkutano wa kamati kuu ya ccm hatuna bunge la wananchi
 
1.. Bunge la chama kimoja,
2..wabunge wote ni wazee wa ndiyoooo, wengi hawakuchaguliwa (wazee wa kupita bila kupingwa)
3..Na mengine mengi ongezea
Na ule uzito na heshima ya bunge imepungua tofauti na miaka ya zamani.
Imagine umeacha mambo ya msingi ili uangalie bunge unakuta bungeni wamealikwa wakina mwijaku,baba levo au dokta kumbuka ndio nini sasa hiki
 
Nakumbuka mim mwenyewe nisiyeipenda siasa nilikua naangalia namna vyama pinzan vikitoa challeng Kwa chama tawala palikua pananoga ila Sasa chama pinzan sijui ni kimoja sijui hakuna yaan hapalet hata msisimko wa kuangalia
Yeah uko sahihi.
Enzi zile za wakina mbunge bungara,msigwa,lema na wakina halima mdee kabla hawajapewa viti maalumu bunge lilikuwa linanoga sana
 
Kuanzia 2020 na kurudi nyuma bunge lilikuwa la moto ulikuwa unapita kila sehemu unakuta watu wanasikiliza kwenye radio, wengine wanaangalia kwenye runinga.

Lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa watu hawafatilii kwa nini?
Umeweka na jibu kabisa kwenye hoja ya swali lalo, kuna haja ya kuendeleza mjadala tena?
 
Kuanzia 2020 na kurudi nyuma bunge lilikuwa la moto ulikuwa unapita kila sehemu unakuta watu wanasikiliza kwenye radio, wengine wanaangalia kwenye runinga.

Lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa watu hawafatilii kwa nini?
sasa kama wako wenyewe tu wanapashana mipasho laini na kula posho na mishahara minono huku mamilioni ya watnzania hawana hta mlo mmoja kwa siku unategemea waangalie hao walioshiba? maisha yamekuwa mgumu na hakun wakuwasemea hivyo wanahangika kutafuta misosi kwa familia zao ili wasije kufa njaa, pale hkuna Bunge ni kikundi cha walaji waliovimbiwa.
 
Bunge mwanzo mwisho linaaifia tu
Bunge la kichawa

Ova
 
Back
Top Bottom