Strong25
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 394
- 834
Mpaka unasoma uzi huu natumaini uko njema kiafya.
Siku hizi mjini wimbi kubwa lawatu wenye pesa nivijana. Vijana tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa?
Sawa unaduka ila mbona umepanga kadeti chache tu alafu nje umepaki BM?
Yani unalipa kodi zaidi ya 1Milioni, umeweka mfanyakazi mzigo uliouweka ndani nimchache sana. Hata masaa zaidi ya manne hakuna mteja hata mmoja aliekuja kununua ila unamaisha safi kabisa
Tupeni siri nasisi vichwa maji tuamke usingizini